Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Naamini wakati yeye anapoteza iyo 15yrs, wewe ulikuwa unafanya ujasiriamali ni vyema ukatuonesha viwanda/kiwanda chako mkuu.

Tatizo la watanzania ni kutoa ushauri ambao hata wao hawawezi utekeleza.
 
Wewe una viwanda vingapi? Na umeajiri watu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…