Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Kampuni ya Simon Group na serikali zimekubaliana kushusha nauli za abiria katika mradi wa mabasi yaendayo haraka baada ya serikali kukubali kushusha tozo la matumizi ya miundombinu ya mradi huo ikiwemo barabara zinazopaswa kulipiwa na kampuni hiyo kwa mujibu wa mkataba.