Hatimaye naenda kuoa Moshi mke wa pili raha jipe mwenyewe

Hata huyo uliyeachana nae ulikuwa na furaha nae,wote mwanzoni ukupa furaha.
Kama unategemea mwanadamu mwenzio akupe furaha nadhani bado una safari ndefu.
Kuishi na mwanamke kunahitaji akili
 
Mola akujaalie baraka na furaha tele.

Ndoa inatakiwa isababishe furaha kwenye maisha. Naamini ulichukua jitihada za kurekebisha kasoro kwenye ndoa yako ya kwanza ila ikashindikana.

Kila la kheri mkuu
Wapo watu awaoleki na huwezi wabadili
 
Wanawake wanalilia Sana ndoa shida uanza wakishapata cheti cha ndoa na kuzaa watoto,uikaribisha ndoa kwa shetani, vurugu mechi,mume anavurugwa anavurugika riziki hazikai kwenye vurugu.
Mume ukimbia akikimbia sababu ya upumbavu wa mwanamke,mwanamke uanza kumtangaza mme mabaya kakimbia katelekeza watoto,uanza kukimbilia kwa waganga na kujazana kwa mwaposa kukanyaga mafuta ya urudisho.
Wanawake wengi wanaolia makanisa asilimia kubwa wao ndio chanzo cha kuzivuruga ndoa zao.
Wanaamini kelele ni suluhisho.
Mwanaume na kelele ni vitu viwili tofauti.
Viumbe visivyopenda kelele duniani ni mwanaume na dolphin.
Wanawake waelewa huwa ni wapotezeaji,wapotezeaji wengi ndo ndoa zao zinadumu na sio hawa wa haki SAwa wa kucopy kwenye tamthilia.
Maana lengo kuu la tamthilia zote ni kubomoa ndoa sio za kiswahili, korea,kihindi,kizungu,nk madirector wanajua nini ajenda au wanatumika bila kujua na darksiders.
 
Kalunya unakunywa beer gani?
Chukua tatu nitalipa nikirudi Xmas.
Umemuongelea mwanamke tipikoo wa kiswahili. Aisee, wadudu wanamaudhi hao.....
 
Mwana huu ukweli ulioandika hapa, utakuwa tiba kwa walio na uelewa.
 
Athari za kelele za wanawake kwa mume.

1.Makelele ndio chanzo cha wanaume wengi kushinda bar hadi saa sita usiku wakiamini watamkuta mpiga kelele amelala.
2.Kupungua kwa nguvu za kiume maana mnyama mkali apendi kelele.
3.Wanaume kutembea nje
4.Kupotea au kupungua kwa riziki nyumbani,nyumba yenye kelele roho Mtakatifu anatoka nduki akai, shetani ndo ushika usukani.
5.Magonjwa ya kupalalaizi kupooza, pressure,moyo.
Wanawake wengi kelele zao ndio chanzo cha vifo vingi vya wanaume,wanaume hawana uwezo wa kuhimili kelele au kueleza matatizo yake nje.

Wanawake mkiacha kelele mtaponya ndoa zetu maana mume, kelele uwaondoa wanaume majumbani.
Wanawake wasio na kelele ndoa zao huwa zinadumu.
Kelele za nini kupotezea kuna wacost nini?
KILA kitu mwataka mjue,mfatilie, muulize,nk kumtaka mwanaume awe mtakavyo ni SAwa na kuyapandisha maji milimani.
 
Tafsiri ya neno ndoa ni kuyakubali mapungufu ya mwenzio.
Malezi umpayo mwanao ndio chanzo cha kujenga au kubomoa ndoa ya mwanao,wanandoa uiga waliyoyaona kwa wazazi wao,labda tu awe matured enough.
 
Huyo ni zaidi ya mchawi mamaee
 
Ndio maana ulikua unamchukia Jiwe tena mkatoliki kumbe mchaga tena muislamu aiseeee
 
Sahivi ni ngumu kuelewa utakuja kuelewa baadaye ,halafu nilichoandika na
Kuna uhusiano gani na uchawi hapo,uelewa wako nawe ndio ulipoishia sikulaumu sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…