Hatimaye NACTE watoa first and second round selection.

Hatimaye NACTE watoa first and second round selection.

tupo wengi ila wamesema tuendelee kusubiri wanarekebisha.

NASHUKURU SANA KWA FARAJA ,imenipa mawazo mbaya vp umewatokea ofisini au??ebu nipe contact cos nipo chuga alafu mishe za dsm saaizi ni msala,
 
NASHUKURU SANA KWA FARAJA ,imenipa mawazo mbaya vp umewatokea ofisini au??ebu nipe contact cos nipo chuga alafu mishe za dsm saaizi ni msala,
ni tangazo wametoa kwenye website page yao facebook, hivi nawasubiri wafanye kitu hadi ijumaa ila ikishindikana itabidi kuwaibukia
 
Sasa wewe madam sifuri umepangwa chuo gani? Angalia madam wataenda kukula kichwa?! Kama kiswahili tu kinakuwa shida hivi Ki-English si ndo itakuwa balaa?

Heheh english ndio nn? Me nasoma kisukuma tuuuu,,unataka ujue chuo ili unilipie ada?tehteh
 
Heheh english ndio nn? Me nasoma kisukuma tuuuu,,unataka ujue chuo ili unilipie ada?tehteh

Kama unasoma Kisukuma tuuu basi itakuwa poa sana mimi ndo nitakuwa mwalimu wako msaidizi!! Nataka nijue chuo ili nije nikuopoe!! Aha ha ha haaaaaaaa!!
 
oi mbna mi nikiingia cas sipati hizo selection naombeni mnijuze basi nifanyeje ili nielewe kama hawa wafuatao wamechaguliwa;JOHN JOSEPH NA FARIDA TABU
 
joining instructions tunapataje sie wa NIT???nimepangwa hapo logistix and trnspt mngnt.......km vp tuchekiane thru 0717382652,0658645615....tupeane taarifa kdg
Msaada pls hii logistics and transport kwa degree wanazingatia vigezo gan na masomo gan kukuchkua na kuhusu mkopo vp?
 
Back
Top Bottom