rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,975
Kweli ilaa atulie kwanzaaa stress za kuishi na mwanamke ukiongeza na huna kitu mfukoni ni balaaa.. atafute wa kujipigiaa tu ila sio Kuanza kuishi naeKuishi single pia ni sahihi, of course hii ilipaswa iwe option number 1...
Ushauri wa kutafuta mchuchu mwingine, naona ni wa busara zaidi ili kumfanya jamaa asiwe chovya chovya...
Experience ya kuishi na mtu waliyezinguana, inaweza mfanya aone wanawake wote ni sawa...
Hatimaye akawa dunga dunga, mzee wa kula kimasihara tu...