Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,831
- 110,087
Kwani yamekukuta yapi mkwe?
Ningeshangaa sana nisingekuona kwenye uzi huu 😊😊
Hakuna kilichonikuta mkwe, ni tafakari binafsi tu baada ya kushuhudia visa kadhaa vinavyoshahabiana na hivi kwa ndugu wa karibu