Hatimaye na Mimi yamenikuta

Mwanamke mcha mungu aliyekwenye ndoa hawezi kuzini kamwe, anaweza kuwa mchoyo na hata mgombanishi....

But sio uzinzi
Sijui unazungumzia wanawake wachamungu wa sayari ipi, ila kama unaongelea wa hapa duniani !!! Nakataa !!
Moja ya sehemu uzinzi umeshamiri ni hizo nyumba za ibada na hao wachamungu wake, mchungaji anaamua tu leo ale kondoo yupi alonona .
 
Ndo maana mi nilichepuka siku moja tu baada ya ndoa sababu nilishajiwekea kwamba haya mambo yapo sitaki kuja kujiona mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…