Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Floyd Mayweather mwaka huu mwezi wa nne anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na hasimu wake wa muda mrefu former heavyweight champion of the world Iron man Mike Tyson kwenye pambano la maonesho (exhibition fight). Ikumbukwe Floyd anacheza uzito wa light middleweight wakati mpinzani wake anacheza heavyweight hivyo ni hatari zaidi kwake jambo ambalo hata yeye mwenyewe Mike Tyson alimshangaa Floyd kutaka pambano na yeye.
Hili pambano ni zaidi ya exhibition fight maana ipo wazi Floyd na Tyson haziivi tangu kitambo na wamekuwa wakirushiana maneno kwa muda mrefu ,hivyo hata zipe fairness ambazo mara nyingi huwa zipo kwenye exhibition fight ,safari hii nadhani itakuwa tofauti.
Mabondia kadhaa wanamtamani sana Floyd kumkalisha ili kujenga heshima ndio maana wengi wakipanda naye ulingoni wanamkamia sana.
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza kwa Floyd kupanda ulingoni kupigana na watu waliomzidi uzito, alishafanya hivyo hata kwa Logan Paul.
Na uzuri wa exhibition fight, ile official record yako itabaki vile vile either umepigwa au umepiga, proffesional record yako haitaguswa haitaguswa .
Turudi kwenye mada kuu sasa..
Ibrahimu Class ameshasikika mara kadhaa kwamba hapa bongo hakuna bondia yeyote kwenye uzito wowote ambao anaweza kumpiga yeye , na kuthibitisha hilo ameomba pambano waziwazi na Hassan Mwakinyo japo uzito tofauti.
Wadau kadhaa wamemshangaa na wengine kumkejeri kwa kigezo cha uzito, lakini tukija kwa wenzetu suala la uzito muda mwingine sio big issue sana kama pambano halitakuwa official professional fight.
Sasa pointi ya msingi hapa ni kwamba, Mwakinyo na Ibrahimu Class wakutanishwe kwenye Exhibition Fight , faida ya hapa ni kwamba yeyote atakayepigwa hata athirika kwenye professional boxing record yake.
Mwakinyo kigezo anachokitumia kukwepa mabondia wa TZ anadai kwenye ranking wapo chini hivyo anakwepa kupigana nao kwa kuwa anajua akipigwa atawafanya hao mabondia kupanda kwa mgongo wake.
Sasa hichi kigezo tunakiua kwa kuandaa Exhibition fight, maana taarabu zimekuwa nyingi sana.
Wakimalizana na Class ,wakakatane ngebe na Twaha.
Baada ya hapo nadhani hakutakuwa na vimaneno maneno kwa pande zote mbili.