Akiwa kifungoni au anavyotoka geti la magereza?Picha yake
Kabisa mkuu tunamsubiri ajeAje tumemmis sana humu .
Huko kwenye ualimu kuna mabadiliko mengi aje atujuze.
Nasikia wanatakiwa waji upgrade la sivyo warudi darasani.
Serikali imeanisha Sifa na vigezo vipya vya walimu wa msingi Na sekondari.
Ambao hawana Sifa hawafukuzwa lakini wakasome.
Tuseme hapana ualimu pasipo elimu ya kutosha (UPE).
Mbona hana ndonya?
Amerudi RasmiTumemmiss Mpwayungu V. A.k.a ndimu Mkata shombo[emoji108]
Mbea sana wewe siku tutapigwa ban wote tutakuachia jf yako. Mwanaume gani unakuwa mbea mbea hivyoNi furaha yangu kuwajuza kuwa mwanetu
Mpwayungu Village kaachiliwa huru kutoka kifungo hivyo tutegemee walimu wetu kutukanwa na kuendelea kupondwa kila siku
Iitwapo leo
Tumkaribishe upya
Akiwa kifungoni au anavyotoka geti la magereza?
Ya Mpwayungu VillageThread gani hiyo mkuu tujuzane
Imekuuma nn mkuuu Mpwayungu Village ni mshkaji wangu ndo maana nimekuja kutaarifu umaaMbea sana wewe siku tutapigwa ban wote tutakuachia jf yako. Mwanaume gani unakuwa mbea mbea hivyo
Wanaenda navyo vilabuni na kudanganya walevi kwamba wao ni maafsa usalama wa nchi na taifa kwa ujumla wake.May Mosi yote Mpwayungu hukuwepo hewani.
Walimu wamesema hawajui jinsi ya kutumia vishikwambi walivyopewa na Mwajiri wao! [emoji848]
Eti wanaomba wafundishwe jinsi ya kuvitumia!
Kwa njia ya semina au in-house?!