Hatimaye mpaka baina ya Tanzania na Rwanda wafunguliwa

Hatimaye mpaka baina ya Tanzania na Rwanda wafunguliwa

Wanyarwanda wajiandae kufiwa na watu wengi kama sisi tulivyofiwa na mwenyekiti wetu wa Ccm Bunda.
walishazoea kufiwa tangu 1994, ogopa wewe uliyekuja kuishi milele hapa duniani, maisha lazima yaendeee
 
Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.



Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru pasi na vikwazo vya kubaguana na kunyanyapaliana kama hapo awali.


Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Hongera Raisi Magufuli kwa kutatua hili na hongera madereva wa Tanzania kwa kukakamaa hadi kieleweke chadema kwa mara ingine wameaibika WALIKUWA WAKIWATOLEA MANENO MACHAFU MADEREVA WA WATANZANIA WALIOHGOMA
 
Back
Top Bottom