🎉 Hatimaye Miaka 2 ya SmartBusiness Startup 🚀

🎉 Hatimaye Miaka 2 ya SmartBusiness Startup 🚀

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
576
Reaction score
773
Miaka miwili sio safari ndefu sana, lakini kwa sisi SmartBusiness imekuwa kama karne nzima ya mafunzo, uzoefu na changamoto..

Tulianza kama ndoto kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Africa kuacha daftari na kalamu na kutumia zana za kidigitali kusimamia biashara zao. Safari haikuwa rahisi lakini leo, tunaandika hatua mpya:
âś… Installs zaidi ya 50,000 na wafanyabiashara zaidi ya 18,000 barani Afrika wanaamini SmartBusiness kila mwezi.
âś… Tumebadilisha njia ya kufuatilia mauzo, matumizi na hesabu kutoka kwenye karatasi kwenda kidigitali.
âś… Tumethibitisha kuwa kutoiacha ndoto njiani ndiko kunaleta matokeo makubwa.

Miaka 2 hii imetufundisha kuwa kila changamoto ni daraja la kufika mbali zaidi. Na safari hii bado haijaisha. Tunaamini mustakabali wa SmartBusiness na wajasiriamali wote Afrika ni mkubwa zaidi ya tulivyowahi kufikiria, ndoto yetu ni kufikia wafanya biashara 1,000,000 Africa ifikapo 2030. 🚀

📅 17 Oktoba 2025, Dar es Salaam – tutasherehekea miaka miwili ya mafanikio tuliyopata. Kwa wafanya biashara/wadau waliopo Dar mnakaribishwa kushiriki nasi tukio hili muhimu kuwa kujiandiksha kwenye fomu hii SmartBusiness 2-Year Anniversary Celebration – Registration .
Taarifa ya venue itathibitishwa kulingana na idadi ya wale ambao watajiandikisha kushiriki.


Soma pia
 
Back
Top Bottom