Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

Mbowe siasa anaiweza sn
 
Mbowe hana amanikabisa, niliona body language yake wakati anaulizwa na mwana blog mmoja kuhusu Uhuni wa baraza kuu aliousema Mheshimiwa Mdee, nae akasema waache uhuni πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Ni mkuu wa Mashetani. Yaani Lucifer Mkuu.
πŸ˜‚πŸ˜‚ mkiambiwa msome mpate vyeti halali mnaleta ujanjaujanja wakipumbavu.
Ona sasa unavyo vurugwa kama kichaa.
Yani unamahasira mbaka yanamwagika, na hauta msahau mbaka unaingia kaburini.

Walaumu walio kutengenezea cheti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…