Hatimaye Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Halima Mdee

Eti nitatafuta kazi ulipwe usd 15,ooommh labda kama kwenye kampuni yake
 
Kwanini wameshindwa kuomba msamaha yakaisha? Mbona kiburi sana ?

Wajifunze kwa wanasiasa wakongwe
 
alimtoa akiwa mwanafunzi au ana fundisha? huyu kaingia Chadema akitokea ofisi za umma kama mtumishi... wazazi wake ndio walikuwa chuo wakipiga vipindi (Nazani ni mzee mdee ndio alikuwa ana fundisha)

aweke wazi...
Yeye kasema alimtoa chuo na Halima hakutoa pingamizi
Wewe unataka unachowaza wewe ndo kiwe na sivyo alivosema ama?
Hivi watu wengine mnakulaga nini? Maana vichwa vyenu sijui vipoje khaaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
 
angekuwepo hayati mpendwa baba yetu makufuli yote haya yasingetokea jpm sasa hivi anakaa na yesu mbinguni
 
wanaopenda kumsema jpm kwanza wawaseme wazazi wao waliokwenda kaburini
 
Mwendakuzimu alituharibia sana hawa dada zetu wapambanaji.

Tulipenda lile bunge liwe na chama kimoja tu
 
Yeye kasema alimtoa chuo na Halima hakutoa pingamizi
Wewe unataka unachowaza wewe ndo kiwe na sivyo alivosema ama?
Hivi watu wengine mnakulaga nini? Maana vichwa vyenu sijui vipoje khaaa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
ukweli... msiwe mna danganywa...

Mh mbowe wewe yawezekana una msikia, mimi namfahamu tuna fahamiana... niishie hapo ndg mfuasi...
 
Halima alisafiri na Ester Bulaya hadi Nairobi. wakala bata wiki nzima na Mwenyekiti wao.
Kumbe kuna mengine yalifanyika nyuma ya pazia Ndio maana Halima anasema wahuni hao
 
Mbowe its a kind of a leader...more than a father & guardian achana na huo uenyekiti.

Namhurumia dogo aliyetolewa usiku gelezani Singida kwenda kupewa ubunge feki maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…