Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,764
hata mimi hii katuni ilitaka kunipiga chenga lakini baadae nikaielewa.Iko hivi,hizi nchi za Afrika mashariki kwa sasa hivi zinatawaliwa kidikteta zote isipokuwa Tanzania.Sasa hawa madikteta wanamkaribisha Mama nae awe dikteta,ndiyo kama hivyo unamuona Museven kabeba kabisa taji anataka amvalishe Mama.Lakini Mama yeye kama unavyomuona hapo anachukua za kwao kisha anachanganya na zake in Kikwete voice!Wenye akili zenu hebu tuchambulieni na sisi tuelewe
Ahahaha[emoji38][emoji28][emoji23][emoji16]hata mimi hii katuni ilitaka kunipiga chenga lakini baadae nikaielewa.Iko hivi,hizi nchi za Afrika mashariki kwa sasa hivi zinatawaliwa kidikteta zote isipokuwa Tanzania.Sasa hawa madikteta wanamkaribisha Mama nae awe dikteta,ndiyo kama hivyo unamuona Museven kabeba kabisa taji anataka amvalishe Mama.Lakini Mama yeye kama unavyomuona hapo anachukua za kwao kisha anachanganya na zake in Kikwete voice!
NdaishimiyeHuyu aliyebeba samaki ni nani?