kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Tunahitaji wabunge kama Mnyika wenye uwezo wa kuisimamia serikali hii dhaifu ya magamba.Hongera sana Mnyika kwa kuwapigania wapiga kura wako na watz kwa ujumla
Mamndenyi jamaa anasema kweli? hebu njoo unihakikishie...Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.
Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.
Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.
Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV
Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.
Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.
Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.
Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV
Kutoka kwa maji leo hakufuti upuuzi unaofanywa na wizara ya maji. Kama ni janja yao ili budget ipite tutaendelea kupiga kelele
Yule mdada wa magamba(mamdenyi) mchoteeni ndoo moja akaoge maana hajaoga hii wiki ya 3.
Sasa boyfriend wake anamgegedaje kama hajaoga wiki tatu? Akichepukwa atamlaumu mtu?
Hongera JJ