Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

Ahahahaaa Lowasa keshafilisika hana hela tena kwishnehi arudi akachungeng'ombe Ikulu haingii
 
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
MAGUFLI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!

#HapaKaziTu
 
hivi maccccmmmmm kwa nini mnafasha matamasha badala ya kufanya kampeni?
 
Na ukiona wapambe mia wanaongea kwa niaba ya mgombea ambaye hawezi kusimama hata kwa dk 2.ujue walakini wenyewe umevuka kiwango.

Hatuitaji kiongozi mwenye nguvu na kusimama siku nzima tunaitaji kiongozi mwenye kuongoza vizuri simple and clear
 
Ndoto ya kuota mwisho wa CCM tarehe 25/10 haikatazwi humu jamvini, wanaoota waendelee tu ila ikifika tarehe 26/10 ndipo watakapopata ukweli kuwa Magufuli ndiye Raisi wao!!!

HAPA KAZI TU, MAGUFULI NI JEMBE, HATA UKAWA WANALIJUA HILO.
 
Ahsant mungu, uchaguzi huu mungu kaamua aufatilie, ndio maana akatuchagulia mtu(Lowasa) kwa ccm huwezi kunidanganya! kwa kampeni ya kunichimbia visima badala ya mabomba,kunichongea barabara za vumbi badala ya lami,kushangaa dawa zikiuzwa nje ya hospital,ahsant Mungu
 
tutafika tuuu
 

Attachments

  • 1441879622654.jpg
    1441879622654.jpg
    23.3 KB · Views: 303
Lowasa hawezi kushindwa we jipe moyo tu hutoamini kitakachotokea oct 26
 
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa UKAWA waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.

Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa..

Lowassa ajua fika juu ya udhaifu wa ukawa na anajua wameshashindwa mapema
 
tutafika tuuu

Kura mmeenda kupigia kwenye site yenu mlipo fichia ilani! Mbwa anatishiwa kwao!? Yani blog ya chadema ukapige kura za magufuli! Maneno ya mkapa nazidi kuyazingatia
 
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa UKAWA waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.

Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa..

Nguvu ya soda AKA moto wa mabua
 
hivi tangu lini mtu wa ccm hakajua ratiba za kampeni za mgombea wa UKAWA? Kwani wewe ni meneja kampeni wa lowassa?

Wacheni ujinga wenu nyie vijana wa uvccm. Kipiganieni chama chenu kinacho kwenda kufa oct 25.

Bora ccm wanacho chama chao cha kupigania je wewe unayempigania mgombea binafsi aliyenunua chama na hajui hata misingi ya chama alichonunua!! unacho chama? eti ukawa! ndio kitu gani wakati cuf inazikwa bara na chadema ya kupambana na mafisadi haipo tena! una chama wewe!?
 
Kampeni ni mtu kwa mtu kwetu ukawa, ushindi saa 4 asubuhi ccm chali
 
Back
Top Bottom