Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa Ukawa waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.
Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa

hivi tangu lini mtu wa ccm hakajua ratiba za kampeni za mgombea wa UKAWA? Kwani wewe ni meneja kampeni wa lowassa?

Wacheni ujinga wenu nyie vijana wa uvccm. Kipiganieni chama chenu kinacho kwenda kufa oct 25.
 
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa Ukawa waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.
Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa

Utampingaje shetani wakati wewe kwa uongo wako ni wakala wake? Ufalme.ukifitinika hautaweza kusimama.
 
Bavichaa mnalo. Hamtaki kukubali lakini ndio ukweli. Jumatatu ijayo mtapata shock. Subirini hapa, hapa,
 
Jamani Lowasa leo alikuwa Zanzibar, Morogoro hadi Jumamosi
 
Bavichaa mnalo. Hamtaki kukubali lakini ndio ukweli. Jumatatu ijayo mtapata shock. Subirini hapa, hapa,

mlisema Chadema kabla ya mwaka 2013 itakufa mmeshindwa.

Mmemuhonga slaa. Chadema bado hipo tena imara.

Mmemwonga lipumba ili Cuf ife. cuf bado ipo imara.

Sasa ndugu zangu wa ccm jiandaeni kisaikolojia maana safari ihi hamchomoki. Mchimba kaburi utumbukia mwenyewe.
 
Huyo lowassa ndo nzake akifanyaga makosa huwa anasitaafu
Sahizi kafanya kampaini kwenye kanisa kavunja sheria ndo maana anata kustaafu kampaini
 
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa Ukawa waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.
Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya

,viva UKAWA,UKAWA FOR LIFE ,CHAGUA LOWASSA ,CHAGUA WABUNGE NA MADIWANI WANAOTOKANA NA USHIRIKA WA UKAWA ,peeeeepoz ..........power big up CDM,NLD,CUF NA NCCR haturudi nyuma kamwe
 
Bahati yako sheria ya mtandao. Ukiona msanii anashangiliwa kuliko mgombea..ujue kuna walakini

Na ukiona wapambe mia wanaongea kwa niaba ya mgombea ambaye hawezi kusimama hata kwa dk 2.ujue walakini wenyewe umevuka kiwango.
 
Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa Ukawa waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa.
Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa

Acha uzushi.Mtajitahidi sana lakini jua mabadiliko Lowasa
 
Back
Top Bottom