Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Yes. Birth right.

Being KENYAN alone guarantees that you will speak/know English. It's our national language.
Ninyi hamna national language English lugha ya dunia wenye national language yao UK huyo mmarekan mwenyewe kakipata badala ya kutawalika na UK halafu sasa kakikumbatia anajifanya kama lugha yake ndio sawa na wewe mtumwa mwenzake, Afrika nzima Taifa lenye lugha yao ni moja tu TANZANIA
 
. Halafu anatoka mlevi mmoja kutoka jubilee kashashiba gongo ya matambaa machafu na matunda yaliooza et oooh TANZANIA kuna korona watu wake wanajifia mitaan
 
Ukweli ndio huu. You guys don't know English. This makes you unable to understand simple directives from kenya. View attachment 1523738

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Sasa kama watu hawajui Kingereza tatizo liko wapi? Mbona kuna lugha ambazo zipo sisi na ninyi wala hatuzifahamu!? Lugha si kigezo cha kupima kiwango cha maarifa au akili. Ndiyo maana wenyewe haswa wenye hiyo lugha wakimuona asiyeijua lugha yao ya Kiingereza hawamiliki fikra ambayo wewe unayoileta hapa! Pengine ingelikufaa kufikiri kwa nini wao hawana hiyo taswira.
 
Shida ya watu waliokuwa colonized mpaka akili ni ngumu kuwaelimisha,wanafikiri lugha ni kigezo cha akili,wafaransa huongea kifaransa ni lugha yao mbona hawachekwi kwa kutokujua Kingereza,kadhalka wajeruman, wataliano,spanish nk...ni kama ile dhana waliyomezeshwa na wazungu kwamba wao ndo bora zaidi EA,lkn njoo kwenye reality Wakenya wengi ni wale wanaoishi kwenye lindi kubwa la Umaskini...
 
Dah .....
dont-start-something-you-cant-finish.jpg
 
Huku Tanzania kijana wa umri wako anayezungumza kiswahili anajivunia mafanikio yake binafsi kwenye maisha yake halafu hapo kenya kijana wa umri wako anajivunia kuzungumza fake english accent...kweli hatufanani
Kwanza unaanzaje kujivunia lugha ya mkoloni, mental slavery at a heinous level, mpanmbane kikamba kiwe lugha ya taifa
 
Back
Top Bottom