johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,619
Thubutu!Makonda
Thubutu!Makonda
Hakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,
Rais Samia endelea kuchapa kazi ,, Kama watu Wana maoni ya kuboresha serikali inayasikia na itayafanyia kazi lakini wanaotaka kuipangia serikali nin ifanye na nini isifanye watasubir Sana,
Serikali inasimamiwa na Bunge tu.
Mtaandika na kuongea yote ila msije kuthubutu kuleta uhaini ,mtapoteanaBaada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio silaha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi, wakuelewa tumeelewa tusio elewa tungoje matokeo, ya kazi za huyu mwamba na hanaga masihara kabisa je mnamjua ni nani?
Tanzania serekali ndio inayosimamia bunge na mihimili yote,ndio maana waarabu wa bandari za Tanganyika hawawezi kushitakiwa kwenye mahakama zetu,kwa kuwa watatiwa hatiani na serekali badala ya mahakama,tena kwa njia ya simu tu.Hakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,
Rais Samia endelea kuchapa kazi ,, Kama watu Wana maoni ya kuboresha serikali inayasikia na itayafanyia kazi lakini wanaotaka kuipangia serikali nin ifanye na nini isifanye watasubir Sana,
Serikali inasimamiwa na Bunge tu.
[emoji38]wejamaa hovyo sana, imekula kwako.Bandari yangumnatoa hamtoi?
Kwamba wewe ni msomi nguli!?.. msomi nguli huwaje!?Baada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio silaha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi, wakuelewa tumeelewa tusio elewa tungoje matokeo, ya kazi za huyu mwamba na hanaga masihara kabisa je mnamjua ni nani?
Inasimamiwa na Yale mavi ya dodomaHakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,
Rais Samia endelea kuchapa kazi ,, Kama watu Wana maoni ya kuboresha serikali inayasikia na itayafanyia kazi lakini wanaotaka kuipangia serikali nin ifanye na nini isifanye watasubir Sana,
Serikali inasimamiwa na Bunge tu.
Remote iko msoga king'amuzi SingidaMtaandika na kuongea yote ila msije kuthubutu kuleta uhaini ,mtapoteana
Si mlikuwa mnasema remote Iko msoga vipi tena?
Naongezea swali,Kwamba wewe ni msomi nguli!?.. msomi nguli huwaje!?
anakuwa kama baloziKwamba wewe ni msomi nguli!?.. msomi nguli huwaje!?
Sasa hana masihara katikati kuiba mali za nchi na rushwa au kwaajili ya nini. Narudia Tanzania hamna kiongozi serious zaidi ya kuwa serious kuiba mali za umaBaada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya ahadi, hatimae kaanza kazi rasmi, fungeni mkanda maana huyu mwamba ana kila aina za udikteta, na ndio silaha ya mwisho, iliyokuwa ikitegemewa kwenye utawala, soon tutashuhudia mengi, wakuelewa tumeelewa tusio elewa tungoje matokeo, ya kazi za huyu mwamba na hanaga masihara kabisa je mnamjua ni nani?
Bandari inauzwa halafu wewe mamayo unakalia ujinga wa uchawa CCM....Hakuna Rais atavumilia siasa za hovyo za CHADEMA,