Hatimaye JK AMETIMIZA AHADI ALIYOAHIDI

Hatimaye JK AMETIMIZA AHADI ALIYOAHIDI

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,753
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800 hadi 2500,nyama 2500 hadi 6000,kiberiti 20 hadi 150,sembe 250 hadi 1200,kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu,hii ndo
 
Alisema ataigeuza Kigoma kuwa Dubai ya Africa.......may be mmeshaanza kuona construction boom hapo Kigoma mjini.
 
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800 hadi 2500,nyama 2500 hadi 6000,kiberiti 20 hadi 150,sembe 250 hadi 1200,kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu,hii ndo

Sasa hivi ni nusu tu ya wamu yake ya pili. Mpaka ifike 2015, tutakoma. Afadhali Mkapa alikuwa mwizi lakini alithibiti ongezeko la bei za bidhaa muhimu
 
Leo kasema atajenga reli mpaka ruanda the to congo.
Yani ameona ruanda na congo ni mikoa ya tanzania au ndo kichwa nazi?
 
Sasa hivi ni nusu tu ya wamu yake ya pili. Mpaka ifike 2015, tutakoma. Afadhali Mkapa alikuwa mwizi lakini alithibiti ongezeko la bei za bidhaa muhimu
Ndio mtajuta kukubali Mswahili akae Ikulu.
 
Na bado kunawashabiki hewa watakuja kutetea haya mauzauza. Kama kupanda kwa gharama za maisha kungelingana na kupanda kwa kipato cha wananchi tungeona jitihada. Ila gharama za maisha zinapanda na UFISADI pamoja na utoroshwaji wa fedha zetu umeongezeka. Mpk 2015 lazima tutie akili.
 
Ninachoshangaa ni kuwa wako katika harakati za kuuwa yale mashirika na viwanda vilivyokuwepo ili bidhaa zote zitoke nje pamoja na matibabu na madaktari lakini wanajenga barabara na kuweka uzito kwenye uchimbaji madini, mafuta na gesi tu!
Tafakari!
 
amekuza joka tangu hatua ya magamba, sasa limeota ndimi mbili, 2013 litaota nyeti, 2015 litanasaaaaaa....kama jamaa wa tmk
 
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800 hadi 2500,nyama 2500 hadi 6000,kiberiti 20 hadi 150,sembe 250 hadi 1200,kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu,hii ndo

Hivi safari zake zimetutoa tulikokuwa na kutusogeza hatua kadhaa mbele? Uchumi wetu unafanya vizuri kuliko wa nchi ambazo Marais wa nchi hizo hawasafiri kama Rais wetu? Wachumi nisaidieni.
 
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800 hadi 2500,nyama 2500 hadi 6000,kiberiti 20 hadi 150,sembe 250 hadi 1200,kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu,hii ndo

Kwa hiyo kafilisi nchi na kusababisha matatizo zaidi kwa wananchi!
 
Ametimiza, alipoichukuwa CCM mikononi mwa Mkapa ndani ya CCM kulikuwa hakuna nyoka, leo anasema CCM ni nyoka na imeota magamba; eti ndani ya CCM kuna nyoka mwenye ndimi mbili..ameingiaje kama sio yeye aliyemleta?
 
kabla JK hajatawala nchi mlikua mnajua kua mna gesi na mafuta ya kumwaga? mwenzenu akiondoka anawaachia utajiri ambao dunia nzima unautamani
 
Mtakufa ninyi na nchi mutaiacha vile vile. Tanzania haijafa, haifi na haitakufa.
 
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800 hadi 2500,nyama 2500 hadi 6000,kiberiti 20 hadi 150,sembe 250 hadi 1200,kutoka kuwa na ndege 11 za ATCL hadi ndege 1 mbovu,hii ndo

Mkuu,

Kama ndivyo alivyosema na wewe ukakubaliana na aliyokuwa anasema basi wewe ndiyo unaonekana mjinga wa kutupwa.

No matter what, kama dunia ilivyo, jana siyo leo na leo haitakuwa kesho. Hata wewe haikuwa kama leo na kesho hautakuwa kama leo kwa maana kuwa hata kiumri utakuwa umeongeza uzee naturally.

Angeonekana kidogo ana hekima na pia yuko tayari kukabiliana na changamoto kidogo kama angesema ataitoa nchi katika hali duni kuipeleka katika neema.

My friend, you have bought from him an empty shell and you look stupid
 
Back
Top Bottom