Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

Hatimaye jimbo la Ubungo lapata viongozi wapya

mmeweka vyeo makamanda ambavyo havipo kikatiba pliz u nid to make cherk up on that" who is mhamasishaji" in the katiba
mhamasishaji na mwenezi, ni kitu kiomoja tofauti ni majina tu.
 
Naona Waislam ni wawili tu tena ni wanawake
kwani waligombea namba ya uislam na mkristo au auongozi wa kanisa au msikiti? au ndio maumivu yamekupata? utasoma namba mwaka huu.
 
Kwa hii timu,maccm yanafutika ubungo sasa
maana wote ni makamanda haswa
 
Kiukweli kimara na mbezi mtashinda na ndiyo maana hata mikutano anaifanyia huko huku kwetu manzese haji kabisaaaaa na hatumtaki akija tutampiga mayai viza na kama anabisha aje huyo mpolipoli mtu wa mnyikani. Tulichomtuma atuwakilishe sio atuleteee migomo
 
labda wewe na wivu wako wa kike ndio hamtaki lakini kama manzese ameshafika vya kutosha na kugawa madawati 120 kwa shule ya ukombozi. kilimani na manzese. na juzi alikua kwy kikao cha wazazi wa watoto walemavu manzese ukombozi sijui hata kama unapajua!
 
Hawatakiwi Mkuu. Si unaona kinachoendelea kule DMV? Mwenyekiti wao anapigwa na akina Liberatus simply kwa vile ni muislam

Waislam hawana Akili au hawajagombea au awatakiwi CDM.

Naona Waislam ni wawili tu tena ni wanawake

Kwa hiyo huu ntizamo wenu... Mnapenda tujenge hoja kwa dini zetu? Mwenyekiti wa CCM ni dini gani? Katibu wake ni dini gani? Kwa nini Mangula alitolewa kwa hasira? Je, ni kwa ukristo wake? Kwanini Alipotolewa Mukama akapachikwa Kinana? Ni udini? Kwa nini Makamba na Kinana wamepewa muda mrefu kwenye ukatibu mkuu CC? Je, ni kwa uislamu wao?... Leteni ujinga huu tuibue uhuni zaidi!
 
Kwa hiyo mnajipangia safu yenu ya uongozi kadri mpendavyo

Hivi kuna mwislamu anayeitwa weston? Au umeleta unafiki? Hivi makamu wa rais ni dini gani? Kwa nini Alipotoka IGP Mahita (Mwislamu) aliteuliwa Said Mwema? Wewe Bwana acha ujinga!... Ukileta Udini utakwazwa kwa kila kitu.
 
Povu la nini Mkuu? Kwani matokeo si hayomyanaonekana? Yafuta uwiano wa waislam na wakristo halafu uje hapa kutuambia kama tunaleta propaganda ama la

Naheshimu mods na watanzania wasiopenda niende mbele zaidi ya nilivyokujibu?!!...
 
Lua nasema hivi mwambie aje utaona kama ni wivu wa kike au wa kinini wewe wivu wako wa kimbwa tutaona hapo alafu wewe huijui manzese kama ninavyoijua. Mimi wewe wa kutelemka na Ngorika au Dar express mimi sikuja na ndugu
 
ajee mara ngapi kama kuja kisha kuja na ataendelea kuja kadili ratiba itakavyopangwa. mara manzese ya kwenu huko kisavulacholi huko lkn sio ya dar.
 
mmeweka vyeo makamanda ambavyo havipo kikatiba pliz u nid to make cherk up on that" who is mhamasishaji" in the katiba
Mkuu hivi kuna tofauti katika ya Mtunza hazina na Mhazina! kama hamna basi pia hakuna tofauti kati ya katibu Mwenezi na Mhamasishaji! ni sanaa ya Lugha tu Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lua
Ndio mwenyekiti wako wa act mzee wa ujiji amekutuma kuja kusema hvyo.
Unapomuuliza Weston Songoro usimfiche... Mwambie udini na ukabila ni wimbo wa zitto aliowalisha wafuasi wake kujenga ubaguzi.. Je ametumwa na Zitto?
 
Back
Top Bottom