Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Hizi ni habari njema sana. Operation sangara 2 inanukia
Police wetu hawajui kuwa wako chini ya sheria pia
Wakuu,
Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali.
Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.
Operation ya safari hii ni ya ELIMU BURE, AFYA BURE, MAKAZI BORA na KATIBA MPYA.
peoples power!!!!!!!!!!!!!!