Hatimaye Jeshi la Polisi Limeruhusu Mikutano ya Chadema Maeneo yote Nchini

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
401
Wakuu,
Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali.

Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.
 
Gosbertgoodluck:

Hii avatar kama ina mwenyewe vile?
avatar9650_2.gif
 
Nilijua wamechemka! Lissu aliwasomea katiba aibu tupu! Operations start from the roots.
 
wamebana wamebana................................................wamebana wameachia,tikiri tti................................wamebana wameachia!
 
Nimefarijika na habari hizi!CHADEMA endeleeni na kasi ileile sisi tupo nyuma yenu!!
 
Police wetu hawajui kuwa wako chini ya sheria pia

Mkuu usiwalaumu polisi hata wao wamechoshwa na order za hovyo za JK hawana cha kufanya huwa wanatii tu wanachoambiwa. Kwa sababu ndiyo kanuni ya askari.
 
Wakuu,
Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali.

Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.

Ee bwana ee. Kwa hiyo wameamua kupuuzia zile "taarifa za kiitelegensia"? Hii nchi inavituko!! Kuna siku tutaambiwa tusitoke majumbani kwa sababu "taarifa za kiitelegensia" zinaonyesha hakuna usalama. Vituko juu ya vituko
 
Ivi polisi bongo walijiona wako juu ya sheria...pumbafu kweli! sasa dawa ni moja!!
 
Naona Polisi na chadema walikuwa hawajaelewana ndio maana kukatokea mvutano. Bravo jeshi la polisi kwa kuwaonyesha njia ya waliotaka kuwapaka matope
 
Operation ya safari hii ni ya ELIMU BURE, AFYA BURE, MAKAZI BORA na KATIBA MPYA.

peoples power!!!!!!!!!!!!!!


Exactly, hii safi, yaani lazima iwe na agenda hii, ushindi lazima, walibana wameachia siku moja tu baada ya tundu Lissu na Mabere marando kusema watamshitaki yeyote atakaye julikana aliye zuia wabunge wasifanye mikutano majimboni, Good job, peoplezzzzzzzzzzz powerrrr..!!!!!!!
 
Ni baada ya Slaa kupigia magoti utawala wa JK ,wacheni kujikurupusha ,ukweli ndio huo ,Vile CUF waliwekea ngumu utawala wa Salmini kwa miaka mingapi ? Na utawala wa Karume kwa miaka mingapi ?

Chadema wacheni hizo ,eti sasa mnatumiwa na CCM baada ya wao CCM kushindwa kuizuia serikali ya umoja wa kitaifa !!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom