Hatimaye Israel kusarenda mbele ya Urusi

sio lazima uonekane unatoa uzi ,muda mwingine kuwa mchangiaji tuu,sasa wapi umeelezea why Israel ime surrender?unapotoa mada waka nyama ili ukweli uwepo,naona umekurupuka bila ya kufanya utafiti wa kina,na elewa hizo Missile S300 sio kuwa ni water tight kuzuia mashambulizi ya ndege na elewa equipments hizi zinategemea zaidi wanao zioperate,S300 inaweza kuwa ni silaha nzuri ila nchi husika ina uwezo wa kuzitumia?kumbuka vita ya Misri na Israel miaka hiyo kwenye jangwa la Sinai kuhusu ile Raddar ya kirusi,waisrael waliweza kuiteka na kuifunga kwenye helicopter yao na kuirudisha Israel.
 
Inaonekana una amini Israel kuliko MUNGU aliyetuumba!
 
Kwani aliyeomba wakutane ni netanyahu waisrael!ameona Mambo magumu kwake

Kamwe hii haiwezi kuwa hoja ya kusalimu amri kwa Israel. Mpaka utakaposoma habari kwa kina ndiyo utathibitisha hili.
 
Kwani aliyeomba wakutane ni netanyahu waisrael!ameona Mambo magumu kwake
Kuomba waonane siyo sababu. Huenda kuna mambo anayataka kuyajua toka kwa Putin ambayo mwisho wa siku anaweza kumfanyia asoyatarajia, au pengine ni kumhadaa tu ili aache kelele zake huku mipango na mikakati yake ikiwa pale pale. Waisraeli hawajawahi kuogopa vitisho bali kila vitokeapo wao kwa haraka hutafuta njia ya kujihami navyo na kuvishinda.
Tusubiri tuone.
 
Inaonekana una amini Israel kuliko MUNGU aliyetuumba!
Sio kweli na wewe sio msemaji wangu ,nina uwezo wa kujisemea mwenyewe ILA facts zibakie hivyo ,tusilishwe uongo kama awamu yetu ya kwanza ilivyotulisha uongo mwingi na matokeo yake historia ya ukweli imepotea,tunaambia kuwa Nyerere alikuwa na kadi no 1 je unajua kilichowatokea wengine wenye kadi no 2,3?,ninaamini kwenye ukweli tu.
 
Kuomba waonane siyo sababu. Huenda kuna mambo anayataka kuyajua toka kwa Putin ambayo mwisho wa siku anaweza kumfanyia asoyatarajia, au pengine ni kumhadaa tu ili aache kelele zake huku mipango na mikakati yake ikiwa pale pale. Waisraeli hawajawahi kuogopa vitisho bali kila vitokeapo wao kwa haraka hutafuta njia ya kujihami navyo na kuvishinda.
Tusubiri tuone.
Ni kwa warabu ndyo anajiamini ila sio kwa Mrusi hata marekani na NATO umgwaya
 
Hapo Putin anazubaishwa ili wana wa Abraham wazidi kufanya yao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom