Hatimaye Israel kusarenda mbele ya Urusi

Bas waarab ndo wana wa Abraham, umefurahi sasa!
Unachekesha sana! waisrel walipovamiwa na Rumi miaka 70 baada ya Bwana wetu kristo kwenda mbinguni walichukuliwa utumwani na wengi ndyo walikimbilia Africa ya kaskazini
 
Naona umeelezea tu story ambayo hata hatuijadili hapa
 
Kuomba waonane siyo sababu. Huenda kuna mambo anayataka kuyajua toka kwa Putin ambayo mwisho wa siku anaweza kumfanyia asoyatarajia, au pengine ni kumhadaa tu ili aache kelele zake huku mipango na mikakati yake ikiwa pale pale. Waisraeli hawajawahi kuogopa vitisho bali kila vitokeapo wao kwa haraka hutafuta njia ya kujihami navyo na kuvishinda.
Tusubiri tuone.

UWEZO WA BIBI HAUFIKII HATA NUSU YA UWEZO WA SPY MASTER PUTLER, KATIKA MARAISI WENYE I.Q KUBWA PUTIN NI MMOJAWAO. THE CHESS MASTER ANAJUA SANA KUCHEZA NA MATAIFA KAIDI.
WATAALAMU WA KIJASUSI WANADAIKUWA HATA MCHEZO HUU WA NDEGE YA RUSSIA KUTUNGULIWA NI MPANGO WA PUTIN ALIOUSUKA VYEMA NA KUMTUPIA LAWAMA ISRAEL ILIAWEZE KULETA S-3OO INTEGRATED SYSTEM NA KUMNYIMA UHURU MUISRAEL WA KUATTACK AT ANY WILL.
 
Hao sio Wana wa Abraham Bali ni waisrel feki chimbuko ni wazungu was ulaya! Soma Bible uelewe
Ndio tatizo lao mkuu hawa, hata biblia hawaisomi, Eti taifa teule, taifa teule linaongiza kwa kufi.......
 
UWEZO WA BIBI HAUFIKII HATA NUSU YA UWEZO WA SPY MASTER PUTLER, KATIKA MARAISI WENYE I.Q KUBWA PUTIN NI MMOJAWAO. THE CHESS MASTER ANAJUA SANA KUCHEZA NA MATAIFA KAIDI.
WATAALAMU WA KIJASUSI WANADAIKUWA HATA MCHEZO HUU WA NDEGE YA RUSSIA KUTUNGULIWA NI MPANGO WA PUTIN ALIOUSUKA VYEMA NA KUMTUPIA LAWAMA ISRAEL ILIAWEZE KULETA S-3OO INTEGRATED SYSTEM NA KUMNYIMA UHURU MUISRAEL WA KUATTACK AT ANY WILL.

Kwa hiyo Putin aliamua kuwasacrifice wanajeshi zaidi ya 15 ili aweze kuweka S 300?!
 
Back
Top Bottom