Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

Akhsante kwa kuzidi kuthibitisha kwamba PhD za Watanzania baadhi ni za hovyo hovyo kama ambavyo Wewe pia ni wa hovyo hovyo. Na Wewe nahisi utakuwa na PhD ya kujua tu Kuflashi mimavi yako Chooni. Siku nyingine ukijua unataka kukabiliana na GENTAMYCINE ambaye hata sina Elimu kubwa kama yako hiyo ya PhD uwe unajipanga vilivyo hasa Kihoja kwani Zawadi ya Kipekee niliyopewa na Mwenyezi Mungu na ambayo pia inanipa Kiburi na Jeuri popote pale ni Akili / Uwezo mkubwa wa Kufikiri na kwa hii IQ yangu kubwa niliyonayo wala sioni na sijaona haja ya Mimi kwenda kufanya PhD kama yako.

Halafu acha kuwa Mpumbavu japo una hiyo PhD yako nimesema vizuri kabisa hapo juu kwamba Watanzania baadhi wenye PhD na sijasema Watanzania wote wenye PhD sawa? Tena achana kabisa na Mimi ili nisiendelee Kukudharau na najijua mwenyewe jinsi nilivyo na nadharau.

Hopeless kabisa Wewe!

Come this time 2020, all simple cartoons like you shall have been reduced to almost none. Under the strong Presidency of His Excellency The State President, The Right Hon. Dr. JPM, Tanzania is changing to the better. Whether you like or not. I am afraid, people of your type and who have ramshackle thinking shall not be accommodated.

Alas, Mr. Walking Copse!
 
...Umeelewa mada kweli? Au tayari umeshapuliza hicho cha Arusha?

Sent using Jamii Forums mobile app
under influence ya cha ARUSHA...Mkuu GENTAMYCINE ...anahisi kuwa MDEE ni mmoja wa watu wenye good intelligence quotients...
badala ya kukashifu na kubeza inapendeza zaidi kama ungejibu hoja.
uchaguzi wa ubunge wa kawe hata ufanyike kesho ccm ndio watalia na kusaga meno.
MDEE hana mvuto amepauka kama CHAGGADDEMA iliyopauka
 
Mtu mwenye Phd anashindwa hata kutamka neno "lala" au "mbele" Eti utamsikia akichimba mkwara majukwaani "Nawahakikishia watanzania kwamba, mafisadi wote 'ntarara' nao 'mbere"
 
Over our dead body!! utakuwa na shida sana kwenye ubongo wako kama MDEE ni mmoja wa watu unaowaweka na kuwarate wana Good Intelligence Quotient.... labda tutumie demokrasia na tukubali kwa uelewa wako na watu uliowahi kuwaelewa kutokana na limitation ya uwezo wako...

OK, basi tufanye Juliana Shonza ndio mwenye IQ kubwa.
 
under influence ya cha ARUSHA...Mkuu GENTAMYCINE ...anahisi kuwa MDEE ni mmoja wa watu wenye good intelligence quotients...

MDEE hana mvuto amepauka kama CHAGGADDEMA iliyopauka
Hii thread siyo level yako mkuu. Kajaribu ile ya Juliana Shonza, maandishi yake yanafanana na yako. Naive and narrow minded. Halafu na yeye ni kiongozi. Hii nchi bhana
 
Nikichukua maelezo ya mwenye PhD yake aliyoyatoa hivi majuzi tu halafu nilivyomsikia jana Halima Mdee akichambua Kiutaalam na Kiumakini kabisa masuala ya Kiuchumi kwa Tanzania naona au nadhani inabidi Yule Mtu wa juzi ambaye kiuhalisia ni mmiliki wa Shahada ya Uzamivu ( PhD ) basi angempa tu hiyo PhD yake Halima Mdee halafu na Yeye akabaki na Elimu ya Mdee.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee sitaki kuwa mnafiki na bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno na kutikisa masikio kwa ule ufafanuzi wako wa jana nakupa pongezi / kongole nyingi mno kwani umeonyesha kuwa hukuenda Shule kupata tu sijui Degree au Masters au PhD bali ulienda kuongeza maarifa yako ambayo kiukweli Mimi binafsi nimeyapenda.

Mwisho nitoe tu RAI kwa Mteuzi Mkuu wa Vyeo nchini Tanzania kuwa siku zingine akiwa anateua Watu wake wa kumsaidia Kazi basi si lazima awe tu anatumia Kigezo cha kuwa na PhD bali aamini kuwa kuna wengine kama akina GENTAMYCINE mwenye Elimu tu ya darasa la Saba na akina Halima Mdee wenye sijui Degree kama siyo Masters tunaweza kumsaidia hadi akashangaa kutokana na kwamba tumebarikiwa mno akili za kuzaliwa kuliko tu za kujibia na kupigia Chabo Mitihani Shuleni na Vyuoni.

Hongereni sana wale Watanzania ambao hivi sasa mnachukua PhD's zenu huko katika Vyuo Vikuu mbalimbali duniani ila ukweli tu ni kwamba na mfahamu kuwa hadi hivi sasa kwa PhD's tulizonazo nchini Tanzania hakuna ambazo zimeweza kuleta Tija yoyote kwa Taifa letu hili hivyo mnaposoma huko tambueni tu kwamba Watangulizi wenu wameshatuonyesha huko mlipo mnapoteza tu muda.

Tanzania inahitaji Watu wenye akili za Halima Mdee kama 100 tu ili nchi iende kuliko wenye PhD's 100,000 kama za Yule wa juzi ( ambaye aliropoka pasipo kuwa na data zozote ) ambazo hazina Tija yoyote ile kwa nchi yetu zaidi tu ya kutishiana tu humu mitaani.

Naamini kwamba message sent and delivered.

Nawasilisha.
Nyie acheni kujadili kama watu miso na elimu. Kila mtu anelewa kuwa katika elimu kuna baadhi huwa prescriptive oriented na wengine descriptive oriented. Kamwe hawa hawatafanana. Ukitaka mtaalamu afanane na mwanasiasa unakosea sana ndiyo maana tuna wataalamu. Kutofautisna katika kuelewa kitu siyo ubora wa mtu unategemea a na profession yake. Mbona hata wabunge wapo wengi ndani ya CDM siyo wazuri kuongea?
Kwanza huwezi kumlinganisha Mede kwa Msukuma atapigwa sana licha ya yenye kuwa Darasa la Saba, kwa hiyo huyo Mede tumuiteje? Mnataka kutulazimisha tuone mwenye Phd ni mbovu kweli? Mbona huyo mnayemsifia as ingekuwa nayo kama ana akili hivyo? Acheni wivu.
 
Nikichukua maelezo ya mwenye PhD yake aliyoyatoa hivi majuzi tu halafu nilivyomsikia jana Halima Mdee akichambua Kiutaalam na Kiumakini kabisa masuala ya Kiuchumi kwa Tanzania naona au nadhani inabidi Yule Mtu wa juzi ambaye kiuhalisia ni mmiliki wa Shahada ya Uzamivu ( PhD ) basi angempa tu hiyo PhD yake Halima Mdee halafu na Yeye akabaki na Elimu ya Mdee.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee sitaki kuwa mnafiki na bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno na kutikisa masikio kwa ule ufafanuzi wako wa jana nakupa pongezi / kongole nyingi mno kwani umeonyesha kuwa hukuenda Shule kupata tu sijui Degree au Masters au PhD bali ulienda kuongeza maarifa yako ambayo kiukweli Mimi binafsi nimeyapenda.

Mwisho nitoe tu RAI kwa Mteuzi Mkuu wa Vyeo nchini Tanzania kuwa siku zingine akiwa anateua Watu wake wa kumsaidia Kazi basi si lazima awe tu anatumia Kigezo cha kuwa na PhD bali aamini kuwa kuna wengine kama akina GENTAMYCINE mwenye Elimu tu ya darasa la Saba na akina Halima Mdee wenye sijui Degree kama siyo Masters tunaweza kumsaidia hadi akashangaa kutokana na kwamba tumebarikiwa mno akili za kuzaliwa kuliko tu za kujibia na kupigia Chabo Mitihani Shuleni na Vyuoni.

Hongereni sana wale Watanzania ambao hivi sasa mnachukua PhD's zenu huko katika Vyuo Vikuu mbalimbali duniani ila ukweli tu ni kwamba na mfahamu kuwa hadi hivi sasa kwa PhD's tulizonazo nchini Tanzania hakuna ambazo zimeweza kuleta Tija yoyote kwa Taifa letu hili hivyo mnaposoma huko tambueni tu kwamba Watangulizi wenu wameshatuonyesha huko mlipo mnapoteza tu muda.

Tanzania inahitaji Watu wenye akili za Halima Mdee kama 100 tu ili nchi iende kuliko wenye PhD's 100,000 kama za Yule wa juzi ( ambaye aliropoka pasipo kuwa na data zozote ) ambazo hazina Tija yoyote ile kwa nchi yetu zaidi tu ya kutishiana tu humu mitaani.

Naamini kwamba message sent and delivered.

Nawasilisha.
Waliliona hilo kwenye mkojo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwaje Halima hakuweza kutumia IQ yake ya 'kutukuka' kuuelewa ule usemi, "mtu anayetumia fedha kwenda Ikulu muogope kama ukoma"
Aiseeh....wewe una akili kuliko hiyo dawa iliyoleta huu uzi na mdee wake !
 
Back
Top Bottom