Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!


1. I strongly beg to differ with you. If it's Halima Mdee I happen to know very well, ninaomba UNISAMEHE. Tanzania ili tuendelee zaidi kwa vigezo vyovyote vile haihitaji watu aina ya Mhe. Halima Mdee, period.

2. Juu ya Ph.D za Watanzania ambazo wewe unadhani hazina manufaa. Ninakushauri endapo una sifa, nenda shule upate Ph.D ambayo itawasaidia vizuri Watanzania. Do you really know how much it takes for someone to be awarded a Doctorate Degree?
 
Ttzo wengi wao zile rangi Mbili zinawabana huwawezi kuwa huru japo ukweli upo wazi. Rangi mbili maana yake ni Ndiyooo na hapanaa pale upepo unapobadilika. Wamenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yangu ni IQ ya Kutukuka ya Halima Mdee dhidi ya mmiliki wa PhD wa pale MAELEZO na sijazungumzia hapa suala la Kawe. Sasa nimegundua na kujua ni kwanini Watanzania wengi huwa mnafeli Mitihani yenu huko Shuleni na Vyuoni kwani huwa mnakurupuka kuliko kujibu kile ambacho mnatakiwa kukijibu.
Ilikuwaje Halima hakuweza kutumia IQ yake ya 'kutukuka' kuuelewa ule usemi, "mtu anayetumia fedha kwenda Ikulu muogope kama ukoma"
 
Hoja yangu ni IQ ya Kutukuka ya Halima Mdee dhidi ya mmiliki wa PhD wa pale MAELEZO na sijazungumzia hapa suala la Kawe. Sasa nimegundua na kujua ni kwanini Watanzania wengi huwa mnafeli Mitihani yenu huko Shuleni na Vyuoni kwani huwa mnakurupuka kuliko kujibu kile ambacho mnatakiwa kukijibu.
PhD ni permanent head destruction wengi Wenye PhD akili zao hazipo sawa wapo bize na makaratasi kuliko familia yake, Wengi hawana furaha sijui waliosoma wakilenga kitu gani? Nilitegemea elimu yao ilete mabadiliko na wawe mfano lakini vichwani weupe, Wengi anasubiri miradi na pesa za wazungu ili waishi, Almost PhD za watanzania ni Sifuri tutafute msamiati wa kuwakejeli hawa PhD holder wa Tanzania, Wanalitia aibu taifa
 
Nimefurahi sana Leo GENTAMYCINE kumkubali mdee

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi Mtu yoyote mwenye / aliye na IQ kubwa hasa ya Kujenga Hoja ambayo naona inafanana kabisa na yangu basi huwa ninampenda sana na atakuwa Rafiki yangu. Ukiachilia vituko vyake Halima Mdee ambavyo Kisaikolojia tu kila Mwanadamu anavyo ila ukweli ni kwamba nimekuwa nikimpenda sana huyu Dada hasa baada ya kujua / kugundua kuwa ana uwezo mkubwa mno wa Akili / Kufikiri.

Sipendi na nachukia sana Wanaojiita Wasomi halafu Vichwani mwao kumejaa tu maji taka.
 
Mkuu GENTAMYCINE hoja yako ya leo umeitoa katika uhalisia na matokeo ya ulinganifu kati ya PHD holder na Mdee big up sana. Na ile ya Juzi kuhusu yule mtaalam wa Kenya uko vizuri.......tukiwa wakweli hivi hili jukwaa litapona kuliko uccm, uchadema, ucuf nk.
 
Punguzeni Siasa kwenye mambo ya msingi.
Kuna watu wanafanya practical wengine wanafanya theory.
Mdee hajawahi fanya practice asikusumbue kichwa.
 
Nikichukua maelezo ya mwenye PhD yake aliyoyatoa hivi majuzi tu halafu nilivyomsikia jana Halima Mdee akichambua Kiutaalam na Kiumakini kabisa masuala ya Kiuchumi kwa Tanzania naona au nadhani inabidi Yule Mtu wa juzi ambaye kiuhalisia ni mmiliki wa Shahada ya Uzamivu ( PhD ) basi angempa tu hiyo PhD yake Halima Mdee halafu na Yeye akabaki na Elimu ya Mdee.
...

Naamini kwamba message sent and delivered.

Nawasilisha.

Kwa jinsi ulivyowasilisha wazo lako ni dhahiri hujui PhD maana yake nini, na hasa uwezo wa mwenye PhD. Pole kwa hilo.
 
Huyo nripokaji wa juzi sijamjua mkuu, weka wezi.au unaogopa kutekwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

JamiiForums ni Home of Great Thinkers Mkuu na siyo Home of Fool Thinkers. Ni jukumu lako Wewe sasa kufanya utafiti au udukuzi wako wa kuweza kumjua huyo wa juzi ni nani ila kama ungekuwa sharp tu Kiakili kuna mahala kila nikimsema huyo Mtu mwishoni namalizia wa pale MAELEZO tayari ungeshamjua ni nani?

Siku hizi na hata zijazo GENTAMYCINE nitakuwa nafumba sana katika mabandiko yangu humu JF hivyo kama unajijua kabisa kuwa Wewe si tu kwamba una akili nzito bali una hadi kichwa kizito cha kuwa mwepesi wa kuelewa kitu / jambo haraka basi sikushauri uwe unafungua threads zangu au hata kusoma posts zangu.
 
Mungu apishilie mbali...huyu anavyokicha cha ARUSHA hata JAMAICA ambako hicho kitu kinatumika kama mboga hawezi kupewa ujumbe wa nyumba kumi....KAWE wanajuta,kulia na kusaga meno...
acha uongo wako wewe sisi kule kawe hatulii wala nn ,sana sana huwa kunawekwa figisu ili wa upinzani aonekane hafanyi kazi Halima katupambania mpaka kule Chasimba tumepewa Hati zetu kule Kunduchi hakubomolewi tena.. hehehe mtu uko huko keko magurumbasi hata hupajui Kawe unasemea wana kawe hehehehe shindwa na ulegee
 
Back
Top Bottom