Hata kiswahili lugha yako umeshindwa,ungetakiwa uandike kwa kiingereza ingekuwaje?
....hajiuzuru=Ni kitendo cha kukataa kujiuzuru.
Sasa hapa unatuchanganya kwenye kichwa cha habari umetuthibitishia kuwa hawezi kujiuzu,huku kwenye maelezo unasema amejiuzuru!
Onyo:Haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18!
Viroba si chai.