Bwaksi
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 125
- 4
Habari nilizozipata punde. Fao la kujitoa limeruhusiwa na serikali na kauli itatolewa na serikali ktk kikao cha bunge kinachoanza leo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hizi ni taarifa za kweli. Najua waliosema umekurupuka wameanza kuficha nyuso zao. We umeongea kwa takwimu. Wao ndio hawana uhakika. Ndio wamekurupuka kujibu bila kuingia kwenye vyanzo vingine vya taarifa