P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Jul 24, 2015 #41 Duuuh wakati Chibu kashafanya kazi mbili na Davido Leo mashabiki wa Kiba ni breaking news Davido kumfollow tu Kiba Wakati Chibu anamjubu na kumpiga madongo Davido atakavyo huku watu wanasherehekea following Kweli kuna tofauti kati ya msalaba na jumlisha x na kuzidisha
Duuuh wakati Chibu kashafanya kazi mbili na Davido Leo mashabiki wa Kiba ni breaking news Davido kumfollow tu Kiba Wakati Chibu anamjubu na kumpiga madongo Davido atakavyo huku watu wanasherehekea following Kweli kuna tofauti kati ya msalaba na jumlisha x na kuzidisha
L La Princesa JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 1,059 Reaction score 1,206 Jul 25, 2015 #42 team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo?
team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo?
J John Rogath Nguzo Senior Member Joined Dec 31, 2011 Posts 148 Reaction score 52 Jul 25, 2015 #43 chige said: Najisikia aibu! Yaani Breaking News Davido kum-follow Kiba!!!! Thanks God hili jukwaa ni la Kiswahili, tafadhali ndugu zetu Wakenya msipite kwenye huu uzi manake na nyie mlivyo na shobo, nisingependa hizi aibu zetu mzishuhudie!! Click to expand... acheni roho mbaya habari ulitaka iwe Davido kumfollow Dimond?...achen kuweweseka..
chige said: Najisikia aibu! Yaani Breaking News Davido kum-follow Kiba!!!! Thanks God hili jukwaa ni la Kiswahili, tafadhali ndugu zetu Wakenya msipite kwenye huu uzi manake na nyie mlivyo na shobo, nisingependa hizi aibu zetu mzishuhudie!! Click to expand... acheni roho mbaya habari ulitaka iwe Davido kumfollow Dimond?...achen kuweweseka..
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Jul 25, 2015 #44 La Princesa said: team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo? Click to expand... Mshamba humjua mshamba mwenzie the same tu changu mana huwa wanakutana na kufanya umalaya pamoja.
La Princesa said: team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo? Click to expand... Mshamba humjua mshamba mwenzie the same tu changu mana huwa wanakutana na kufanya umalaya pamoja.
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,159 Jul 25, 2015 #45 John Rogath Nguzo said: acheni roho mbaya habari ulitaka iwe Davido kumfollow Dimond?...achen kuweweseka.. Click to expand... Naomba nikupuuze mheshimiwa!!!
John Rogath Nguzo said: acheni roho mbaya habari ulitaka iwe Davido kumfollow Dimond?...achen kuweweseka.. Click to expand... Naomba nikupuuze mheshimiwa!!!