Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Dec 22, 2010 #1 Wana jf ule mkutano wa CHADEMA Arusha ulikuwa ufanyike leo umeshindwa kufanyika baada ya polisi kuzingira eneo la mkutano. NMC ground.
Wana jf ule mkutano wa CHADEMA Arusha ulikuwa ufanyike leo umeshindwa kufanyika baada ya polisi kuzingira eneo la mkutano. NMC ground.
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 257 Dec 22, 2010 #2 Inamaana polisi ndo wamefanya wao. Polisi Jamii au Polisi antijamii. Enzi za Udikteta zimerejea tena lakini kipindi hiki na kijacho jamii itakuwa na nguvu zaidi.
Inamaana polisi ndo wamefanya wao. Polisi Jamii au Polisi antijamii. Enzi za Udikteta zimerejea tena lakini kipindi hiki na kijacho jamii itakuwa na nguvu zaidi.
B Byendangwero JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 871 Reaction score 56 Dec 22, 2010 #3 Dooooooh! Huyo RPC mpya amekuja moto moto kweli. Inasemekana wangelimuweka benchi mapema mtangulizi wake Mh. Lema hasingeliambulia chochote.
Dooooooh! Huyo RPC mpya amekuja moto moto kweli. Inasemekana wangelimuweka benchi mapema mtangulizi wake Mh. Lema hasingeliambulia chochote.