Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Sijui itakuwaje kwa sababu ninachokiona kama kila chama kitaanzisha chombo chake cha habri maana yake ni kwamba propaganda zitakuwa ni za kuwamga badala ya ukweli halisi,hapa lazima kuna kuhamasishana kuvunja amani.Wizara ya habari angalieni hili vinginevyo>>>>>>>>>>>>..........

sijui walikuwa wapi muda wote huu
Unamaanisha hata uhuru radio isitishwe? Point yako kama ina bias na ushadadiaji hivi. Gamba nini?
Wabheja sana chadema, hakika chadema media itaongezea kasi ya kuung'oa tawala fisadi na katili la ccm.
mbona hujatoa angalizo lako mapema? Mnafiki wewe