Mfilipino Kapigwa Ngumi Nyingi Usoni Na Ndo Zenye Pointi Arifu.Mwakinyo kapigwa hilo halina ubishi...
Mfilipino kajitoa nini au wameiba kura?🤣Amepita bila kupingwa
Kama kawaida yetuSiasa ya Tanzania itaharibu kila kitu. Kumpa ushindi sio kumsaidia
Hahaha meza imepinduliwaKuanzia Leo sishabikii tena ngumi, ni mchezo wa kiboya sana. Yaan Mfilipino kashinda live ila wanampora ushindi wake watu wanaona. Ushindi kama wa CCM
Kabla ya game ya main card yaani gloves hazikuandaliwa mpaka wametumia za wale wa mapambano ya itangulizi, najiuliza kulikuwa hakuna prematch meeting?Bongo bado sana tunatia aibu kabisa yani refa anakata kamba za glov kwa meno huu ni upuuz mkubwa sana
Ameshinda kiana aina.......muda wote anakimbia kimbia tu
Huu mchezo umechezwa hadharani siyo chumbani, kila mtu ameona, Mwakinyo mwenyewe hana furaha na ushindi wake utakuwa wewe?Majaji wote watatu wamependelea? kukimbiakimbia ni mbinu mojawapo ya kushinda ndio maana hapo juu kuna jamaa amekumbushia pambano la Myweather na Pacquiaqo ambapo Pacquiao alishindwa kwa mtindo huo huo wa kudokolewa dokolewa na kukimbiwa
pambano la kiboya mwakinyo kawekewa irizi ndan ya gloves