Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Hatimaye @Bishanga afulia live live!

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,554
Reaction score
11,485
Sijawahi kuona Bishanga kufulia hadi kukosa pesa ya bundle...!
Alijifanya bepali la kihaya kujitwika JF Tanzanite Member kumbe pesa ni za mkewe The secretary , wamegombana mke kabana mfuko jamaa kwishney! No Bishanga mapesa tena dadadeeeeki!
Unapewa lift unataka kupiga na honi eboooo! Mjini hapa look very Bishanga

Najitolea kumpa bundle na kumburudisha mkewe wakati huu wa mpito ili walau nikae na mwanangu nilozaa na the secratary !


Copy kwa Chocs Arushaone Mr Rocky watu8 Mamndenyi snowhite Mzee kiwatengu shansarie Avemaria DEMBA Kaizer mwallu Tonykp Filipo sosoliso Paloma amu KakaKiiza Mentor TANMO measkron ladyfurahia Lady doctor Heaven on Earth marejesho sweetlady Arabela Mwanyasi KOKUTONA Dena Amsi stevoh Slave Evelyn Salt Smile Dark City mimi49 charminglady beibe nasty Judgement YNNAH SnowBall Husninyo Kongosho BAK 24hrs Passion Lady Ruttashobolwa Madame B Baba V Mtoto halali na hela LiverpoolFC tinna cute King'asti
 
Last edited by a moderator:
Ni muda mrefu namtafuta Bishanga hapa jukwaani
kumbe kafulia kiasi hicho?????!!!!!!!!!
Akchware nilidhani bepari kaenda London kwenye mambo ya biznes kumbe daaah!
Embu toa mwongozo tunamchangia?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Erickb52 unatafuta bifu eeeenh??? ngoja aje.
Hahahaaa huyu jamaa haniwezi
Kama alishindwa kunizuia kuzaa na mkewe sembuse hii kashfa?
Kwanza kafulia mbayaaaa hapa nimemtumia buku tano ajiunge na bundle la week walau aje atusalimie tinna cute
 
Last edited by a moderator:
Chezea masifa?
Hahahaaaa ana madeni hadi kwa mama mwenye nyumba na vimwana wake bado wanakomaa wanataka mahitaji na FINCA hawamwachiiii

Hafu mbona baadhi ya ke wanamgwaya?
Is there any motive behind the uoga?
 
Ni muda mrefu namtafuta Bishanga hapa jukwaani
kumbe kafulia kiasi hicho?????!!!!!!!!!
Akchware nilidhani bepari kaenda London kwenye mambo ya biznes kumbe daaah!
Embu toa mwongozo tunamchangia?
London ataendaje Mwanyasi ?
Hahahahaa labda kwa udhamini wa Shirika la wafuliaji hahahaaaa
Yuko Mwananyamala komakoma....nukta nukta anauza ndizi mbivu na mzuzu hahahaaaa
Pole Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Hafu mbona baadhi ya ke wanamgwaya?
Is there any motive behind the uoga?
Ukiona manyoya......hahahaaa
Ila kwa hawa najua ni watu wake na wakimsema vibaya then akafufuka kiuchumi itakula kwao:tape:
 
Ziko tetesi huyu cha-pombe Bishanga amepigwa P. I (Prohibited Immigrant) ktk operatio kimbunga!
Kwamba nyaraka zake za kuomba uraia haziko sawa. Mi sija confirm by the way!
 
Last edited by a moderator:
London ataendaje Mwanyasi ?
Hahahahaa labda kwa udhamini wa Shirika la wafuliaji hahahaaaa
Yuko Mwananyamala komakoma....nukta nukta anauza ndizi mbivu na mzuzu hahahaaaa
Pole Bishanga

Unamaanisha kwenye avatar yake amepiga picha na bidhaa zake?
Halafu wewe ni jeuri kumzidi, kumbe umezaa na mkewe The secretary?!!!
 
Last edited by a moderator:
Ziko tetesi huyu cha-pombe Bishanga amepigwa P. I (Prohibited Immigrant) ktk operatio kimbunga!
Kwamba nyaraka zake za kuomba uraia haziko sawa. Mi sija confirm by the way!
Kwanza pia nimesikia wanamchunguza pesa zake kama sio za Moto!
Jamaa hana bahati mwaka huu!
Alitaka kuuza nyumba zake wamezizuia sasa yukoyuko tu hana direction zaidi ya kuuza banana
 
Unamaanisha kwenye avatar yake amepiga picha na bidhaa zake?
Halafu wewe ni jeuri kumzidi, kumbe umezaa na mkewe the Scretary?!!!
Hujajua Biashara matangazo Mwanyasi ?
Ndo biashara ilomtoa jamaa kabla hajapata hajachukuliwa na The secretary kwa kuhurumiwa kuumia na kuuza the banana
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa part time hubby, kuanzia mida ya saa moja usiku hadi saa tano

Mkewe pamanenti ni the secretary
Mpaka leo bado ni part time au ushamtema kwa kuwa hana hela ya gesti hausi Kongosho ?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom