Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu habari!

Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA) hatimaye limepata Sekretariet iliyokamilika na hivyo kuwa na Uongozi uliokamilika.Kikao Cha Kamati Tendaji Cha BAVICHA kilifanyika Siku ya Jumamosi tarehe 12 Nov Mjini Dodoma.Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Wenyeviti wa BAVICHA wa Mikoa,Viongozi Vijana wa Chama Taifa,Wawakilishi Watano wa Wabunge Vijana na Wawakilishi Watano wa Madiwani Vijana.

Katika Uchaguzi huo uliokuwa na mchuano mkali,wafuatao walichaguliwa;
1. Katibu Mkuu wa Baraza hilo Bwana Deogratius Munishi
2. Naibu Katibu Mkuu Bara wa Baraza hilo Bi Esther Daffa
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar bwana Suleiman Maabad
4. Mratibu wa Uhamasishaji au Katibu Mwenenzi wa Baraza hilo Bwana Rafiki Rufunga
5. Mwekahazina wa Baraza Bwana Mrisho Ramadhani

Mbali na Uchaguzi huo Kikao hicho pia kilijadili Hali ya Siasa nchini na mambo mengineyo.

Aluta Continua.
 
Hongereni sana.Sasa fanyeni kazi kwelikweli kukabiliana na changamoto za kisiasa zlizopo.
 
Thanks kwa taarifa Tunawatakia kila la kheri makamanda Mungu awatangulie katika kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa wakoloni weusi
 
Wakuu habari!

Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA) hatimaye limepata Sekretariet iliyokamilika na hivyo kuwa na Uongozi uliokamilika.Kikao Cha Kamati Tendaji Cha BAVICHA kilifanyika Siku ya Jumamosi tarehe 12 Nov Mjini Dodoma.Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Wenyeviti wa BAVICHA wa Mikoa,Viongozi Vijana wa Chama Taifa,Wawakilishi Watano wa Wabunge Vijana na Wawakilishi Watano wa Madiwani Vijana.

Katika Uchaguzi huo uliokuwa na mchuano mkali,wafuatao walichaguliwa;
1. Katibu Mkuu wa Baraza hilo Bwana Deogratius Munishi
2. Naibu Katibu Mkuu Bara wa Baraza hilo Bi Esther Daffa
3. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar bwana Suleiman Maabad
4. Mratibu wa Uhamasishaji au Katibu Mwenenzi wa Baraza hilo Bwana Rafiki Rufunga
5. Mwekahazina wa Baraza Bwana Mrisho Ramadhani

Mbali na Uchaguzi huo Kikao hicho pia kilijadili Hali ya Siasa nchini na mambo mengineyo.

Aluta Continua.

Na 3 anze kazi mara mpja kwa kuwaelimisha wazanzibari nia njema ya Chadema ya kuwakombo toka katika makucha ya kile kinacoitwa Serikali ya Muungano amabyo imekuwa ikiiongeza kinyemela idadi ya mambo katika muungano.
 
Kaka munisha hongera sana sana niko na masawe hapa ngowi muro kimambo mallya olomi na wote wanakuinywa mbege kwa furaha yako.
 
Du kwa hl jina naona kulekule kwenye mlima mlefu afrika kwel chama kina wenyewe cjui kama kiongoz hata mmakua
 
Kimichezo zaidi,
Huyu Deo Munishi ndie Yule aliekuaga Golikipa wa Simba akawa anajiita DIDA?
Kama ndie basi big-up wanamichezo kwa kutambua kua ukombozi wa kweli kwa kila mtanzania upo CHADEMA!!
 
Mh Regia rai yangu ni vijana hawa ni jasri?je walipata kuwa screened kwa uangalifu,na je wanauwezo wa kufanya kazi katika siasa za CCM,je wana uwezo wa kujenga hoja?je hali ya hypocricy ikoje?Tuanataka viongozi wa vijana ambao ni completey strong enough to accomodate siasa zinazoendeshwa na CCM.Kama mambo yako poa basi tuwatakie kazi njema
 
Hongera. Kuna kazi ngumu inawasubiri. Msideke kwa kuchaguliwa tu. Ingia kazini tuikomboe Tanganyika na zanzibar zetu.
 
Chama cha kichaga. Naona wameamua wamempe mchaga mwenzao ukatibu.
 
Back
Top Bottom