Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 424
Baada ya ulaji wa VOIL kuondoka (make hapa walikuwa wanazoa mchanga, wana uweka pembeni mwa barabara-mvua ikija inarudisha wanazoa tena-wanaweka pembeni yaani kama mchezo wa glori za watoto. Kisha wakaweka tuta, mara wanaparua tena tuta, baadae mara daraja-ukiangalia pembeni kuna mchanga) sasa wamehamia PAMBA ROAD. Majuzi Dr. Magufuli alikuwa na ziara kanda ya ziwa, hawa Nyanza Road wakatawanya kokoto/sijui zenge hapo VOIL , Chakechake, shule hadi Mkuyuni (hata rami/gundi hawamwagi) sijui lengo lao ni kucheat upana au maintenance?
Afu hawa Nyanza Road kwa sasa wamehamia Milima ya Usagara wana piga makombora utadhani Jeshi hata siamini kama hiyo leseni yao ni ya MADINI au MAWE/Kokoto. Hata yale mawe ya mabatini yalio ua watu watakuwanahusika (wachunguzwe), make hiyo mitetemeko yao sio ya kawaida!!!
Ule mlima si nasikia wameununua!!