Kwa hiyo nyanza road wanajenga
barabara zenye viwango?
Ninachojua Mr Pombe anahusika kwenye hii kampuni ndo sababu wanapewa
kazi japo kazi zao haziridhishi, hii barabara wanajenga kila mwaka,why?
Kma wana ubora unaosema why waijenge hii barabara kila mwaka
Jamani wewe
Zamiluni Zamiluni, huko unaosema kuna barabara
ya gari? Huko ni njia ya watembea kwa miguu, sina hakika hata kama
baiskeli zinapita huko relini
watengeneze na zingine sasa, vinginevyo tutwanyima kura... wee waache tu
Waende Musoma waone jinsi
Mkandarasi, aliyepewa kujenga Bara bara kuu ya Nyerere, iendayo Mwanza
inavyojengwa kwa kiwango,wanaweza kujifunza kitu pale.
Baada ya ulaji
wa VOIL kuondoka (make hapa walikuwa wanazoa mchanga, wana uweka pembeni
mwa barabara-mvua ikija inarudisha wanazoa tena-wanaweka pembeni yaani
kama mchezo wa glori za watoto. Kisha wakaweka tuta, mara wanaparua tena
tuta, baadae mara daraja-ukiangalia pembeni kuna mchanga) sasa
wamehamia PAMBA ROAD. Majuzi Dr. Magufuli alikuwa na ziara kanda ya
ziwa, hawa Nyanza Road wakatawanya kokoto/sijui zenge hapo VOIL ,
Chakechake, shule hadi Mkuyuni (hata rami/gundi hawamwagi) sijui lengo
lao ni kucheat upana au maintenance?
Afu hawa Nyanza Road kwa sasa wamehamia Milima ya Usagara wana piga
makombora utadhani Jeshi hata siamini kama hiyo leseni yao ni ya MADINI
au MAWE/Kokoto. Hata yale mawe ya mabatini yalio ua watu
watakuwanahusika (wachunguzwe), make hiyo mitetemeko yao sio ya
kawaida!!!
aliyekuwa anajenga daraja pale voil ni robert ntale sio nyanza road, na mwenye yard usagara sio nyanza road yeye yuko kisesa iliyokuwa yard ya astald.
Jamani wewe Zamiluni Zamiluni, huko unaosema kuna barabara ya gari? Huko ni njia ya watembea kwa miguu, sina hakika hata kama baiskeli zinapita huko relini
Sasa ndo nimehakikisha barabara za mwanza ni hopeless !! yaani ikitokea maafa ya aina kenyatta rd. wakazi wote wa south kwishein!!
Pole mkuu till than.
Tutapanda kile kivuko cha sweya - kirumba
au anaongelea njia kutokea kule kwa fortes
mkuu. ram nakupa miezi sita itakuwa hovyo tu,hizo ni dili za watu.
_pale buzuruga naona wanafunga taa hongera zao
Kama wiki moja imepita, tulijiuliza hapa ndani kwamba mmiliki wa hii barabara ya pamba hapa mwanza ni nani, watu tuliongea hapa, kweli barabara ile haifai, barabara ina mahandaki na iko katikati ya mji, hatimaye barabara imeanza kukarabatiwa, imefungwa upande wa kuanzia Kenyatta road hadi hapa bank ya barclays, ngoja tuone itafungwa kwa muda gani na ubora wa hiyo barabara utakavyokuwa
idumulwa, Aaron, kalimizzle, Honey Faith, Super H, charminglady, Marire, Ndeticha