Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Basi tu mastar wetu vichwa panzi na aunt kazaa na huyo qusa eti Ili apate mtoto mzuri
Nashangaaga hata watu wanaowafollow hao mastaa yaan hovyo kichiz wanakuwa miili but akili zinarudi nyuma mfano shilole ukija wema??! Yaan wapo wachache sana wanajielewa kama lulu au jokate
 
Nashangaaga hata watu wanaowafollow hao mastaa yaan hovyo kichiz wanakuwa miili but akili zinarudi nyuma mfano shilole ukija wema??! Yaan wapo wachache sana wanajielewa kama lulu au jokate
Lulu anajielewa duu? Bora Shilole ana uzaifu wake kwa vijana wadogo lkn anajua kujituma na kuitafuta hela ,Jokate elimu kidogo imemsidia,lkn wengi wao ni wachumia mbunye.
 
Back
Top Bottom