white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,329
- 13,310
chuo cha ufundi arusha kimetoa majina ya waombaji wanaotakiwa kwenda kwenye usaili tarehe 21/3/2012.majina yote yapo kwenye gazeti la DAILY NEWS la leo.kila raheli kwa watakao ona majina yao.Ili kazi ipo hususani walioomba nafasi ya TUTORIAL ASSISTANT nafasi zipo kumi walioitwa wapo 150!!!!!!!Ila msikate tamaa.