Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Hamnaga maumivu yanauma kwa sisi wenye wivu kama kujua umegongewa mke

yethuuuuuuuu huwa hata kama ulimpenda mtoto wa Gavana wa Benki ya Marekani Unamuacha aseeeee
 
Hakiyanani
Kumbe kuna wababe zaidi yetu!

Kwani Kim Dawizzy ana maoni gani kuhusu dada zake wakenya?
'Yataka moyo wa simba, kufika Mt. Zion...' 🎶 🤣🤣🤣🤣 If you know, you know! 🤣
Dogo Ben, ametrip vibaya sana. Vipi jibaba anataka talaka, au ashachoka kukaliwa chapo? 😂 Ile ilkuwa pia yeye alipize, alafu yule mwana angeifeel na kujitoa mwenyewe kiulaini, sio Ben kukimbilia mahakama. Sasa ona anatia vidume aibu tu! 🤣 🤣 🤣
Wa KE mbone safi tu, mkielewana basi freshi, ukimzingua basi ushaharibu. Ma 'silent-killers' huwaga hawa warembo wetu, nakwambia utanywea mwenyewe akikupa comeback yake! 🤣
 
Wataka niliamshe? 😂 😂 😂
Uliamshe nini wewe pimbi,mimi shemeji yako,kwa wakikuyu maana huku wanajileta wenyewe wakijua tu mimi mtanzania,rafiki zangu wakenya iko kitu wanakijua maana demu atasumbua mkenya mwenzake ila siku akikutana na mbongo kiulaini,wenyewe wanadai wanapenda swahili ya TZ
 
Huyo ndugu yako vipi, si alijileta aolewe ama? 😂 😂 😂
 
Ukiwa single unatamani uwe kwenye uhusiano. Ukiwa na uhusiano unatamani uwe single again. Life is not a easy game. Haya maisha yaacheni hivihivi tu. Sijui wazazi walifanyaje mpaka wakaishi miaka yote hii pamoja. Lazima tuwape credits zao, sisi hatuna uvumilivu kama wao

Mimi sitamani usingle
 
'Yataka moyo wa simba, kufika Mt. Zion...' If you know, you know!
Dogo Ben, ametrip vibaya sana. Vipi jibaba anataka talaka, au ashachoka kukaliwa chapo? Ile ilkuwa pia yeye alipize, alafu yule mwana angeifeel na kujitoa mwenyewe kiulaini, sio Ben kukimbilia mahakama. Sasa ona anatia vidume aibu tu!
Wa KE mbone safi tu, mkielewana basi freshi, ukimzingua basi ushaharibu. Ma 'silent-killers' huwaga hawa warembo wetu, nakwambia utanywea mwenyewe akikupa comeback yake!
Hao dada zenu ni pasua kichwa.
Wanawake wanakuwa wababe kama wanaume!
 
Hamnaga maumivu yanauma kwa sisi wenye wivu kama kujua umegongewa mke

yethuuuuuuuu huwa hata kama ulimpenda mtoto wa Gavana wa Benki ya Marekani Unamuacha aseeeee
Unaambiwa kuchapiwa ni Siri ya ndani..unakufa kisabuni ...!!
 
Back
Top Bottom