Hatimae yaya toure atua arsenal

Hatimae yaya toure atua arsenal

Kijamani

Senior Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
159
Reaction score
9
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa kiungo mshambuliaji yaya toure wa manchester city amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea arsenal. Toure (31) amengia katika mvutano na club yake wiki iliyopita ikisemekana hakuthaminiwa ktk siku yake ya kuzaliwa. Mkataba huo wa siri utatangazwa rasmi mara baada ya kombe la dunia. Toure ambaye ameuzwa kwa pauni 50 milioni atakuwa ni mchezaji ghali wa clab hiyo baada ya kuvuna rekodi ya mjeruman mesut ozil.
 
Nipe link ya habari yenyewe

Hizi ni habari za ndani ambazo tumepenyezewa na mwandishi nguli wa bein sport baada ya kupata habari hizo za ndani kabisa toka kwa watu wa karibu na wamiliki wa man city, ni siri ambayo itatangazwa mara baada ya kombe la dunia
 
Back
Top Bottom