Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,092
- 143,313
Yaani kijana under 40 you feel proud kutumia viagra? I can't believe this.
How old are you crackpot?
Yaani kijana under 40 you feel proud kutumia viagra? I can't believe this.
mimi nataka kujenga heshima ,haijalisha ya muda gani-bora tu iwepo heshima
aya bana mkuu tayari umeshajisifiaKid heshima ni pesa tu Dunia hii wacha kuidanganya nafsi yako.
Wenzako hatuvipanii vikojoleo tupo kupewa huduma zaidi mtoto akanakamata mic unarushwa miruko ya uhakika si kila siku tu unataka kupenyeza dushelele. Na hapo ndipo ilipo tofauti kati ya Mwanamume na mtoto wa kiume.
appointment saa 9 mchana!!!mie saa 3 asubuhi kitu mlingotiHah ha hii kali kabisa aiseee
appointment saa 9 mchana!!!mie saa 3 asubuhi kitu mlingoti
nenda jukwaa la siasa wewe ukajenge uchumi,huku tunajenga familia
How old are you crackpot?
Mke wako?alafu 6?usiku mmoja?mnalala saa ngapi?Chukulia kila goli saa nzima, ukianza saa 5 hadi saa 11 alfajiri!Huu ni uenda wazimu...Ungeniambia hawara nisingeshangaa kwani hadi 9 inawezekana.Yaani we before 50 utakuwa na mkongojo alafu huoni tena!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sometimes viagra muhimu Eve, haya maisha yana stress sana, and its just temporary...
Mshukuru sana kiagra kijana.....
by the way.... what is viagra?