Hatimae viagra ishaanza kunirudishia heshima baada ya kuni boost

Kila Viagra ikitajwa namkumbuka marehemu MC Lema.
 
Tatizo vijana wasasa wanataka kushindana na Walipotokea! SEX ni starehe sio VURUGU shida yote yanini hadi ujinywee midawa ukaua hata hicho kinguvu kdg ulichobakiwa nacho! Tatizo lingine la vjana wanaanza mapema haya mambo kabla Misuli yao haiyakaa sawa! Poleni wadogo zangu ss zamu ya watu wazima kuwagegeda wake wa Vijana!
 
ha ha ha ha umenifurahisha naona mzee unaitetea age
 
.....dah mkuu "unaweka heshima bar kwa pesa ya mkopo?!"
 
Sishauri kabisa matumizi hatari ya vidonge hivi,ni bora kubadili aina ya vyakula kuimairisha sex drive.
 
mimi nataka kujenga heshima ,haijalisha ya muda gani-bora tu iwepo heshima
 
makubwa kila siku ndo mnatafuta kuzidisha zinaa mkapi afya si kukimbilia viagra na mguu ukichoka mtaumezea dawa au zoezi
 
Ndiyo sababu mzungu mara nyingi anakuna kichwa mwafrika anakuna pum zake kila wakati
 
Yaani kijana under 40 you feel proud kutumia viagra? I can't believe this.
 
Back
Top Bottom