Hatimae viagra ishaanza kunirudishia heshima baada ya kuni boost

Hatimae viagra ishaanza kunirudishia heshima baada ya kuni boost

Aibu sana kwa kweli mtoto wa kiume mwenye age ya 20-35's kutumia viagra na why iwe hivyo?? inahuzunisha sana tena sana isitoshe huwa haisaidii kabisaaa zaidi ya madhara,why usipige mazoezi ya kutosha kwa siku mara moja kwa mda wa siku 5 kwa week unaacha Saturday na Sunday??watu wavivu sana wa mazoezi...

Ila fahamu itakuja kukutesa hiyo viagra na utajuta kuitumia,mapenzi sio kunywa viagra bali ukijua jinsi ya kumfurahisha na kumuweka mwenzako basi hapo sio tatizo lazima afurahi sana tu...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Lisimwalo lipo kama unaona ajabu wenzio tunapiga ni kawaida tumekulia mazingira ya kula dona nguna,maharage,mihogo na misamaki kibao...kazi kwako brazaman wa ma chips Zahra White anakutafuta akupe makavu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

How old are u mkuu??why unaongea na confidence kiasi hicho??hivi before ya kutumia hiyo viagra umefanya research ya madhara yake??naamini kama ungekuwa umesoma kiundani usingetetea matumizi ya viagra na nakupa pole sanaaa na kamwe sitokuja kutumia viagra never ever...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
sasa na ujana huo watumia kiagra ukifikisha 50s si hadi uwe unaiimbia kasimama dede????

Itajulikana hukohuko labda kitatokea kitu kikali kushinda viagra

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
How old are u mkuu??why unaongea na confidence kiasi hicho??hivi before ya kutumia hiyo viagra umefanya research ya madhara yake??naamini kama ungekuwa umesoma kiundani usingetetea matumizi ya viagra na nakupa pole sanaaa na kamwe sitokuja kutumia viagra never ever...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Unaharibu market ya viagra wewe hadi madaktari wenyewe wameiruhusu ,wewe unachotaka nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itajulikana hukohuko labda kitatokea kitu kikali kushinda viagra

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwisha wewe ndo utakuwa mwisho wako huo....
ukiimba kasimama dede anasimama akimuona mchumba wake anaanguka na hamki tena
 
Back
Top Bottom