Hatimae viagra ishaanza kunirudishia heshima baada ya kuni boost

Hatimae viagra ishaanza kunirudishia heshima baada ya kuni boost

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Hure...........
Week kadhaa zilizopita nilikuja na mada hapa JF kwamba naombeni msaada wa kunitafutia viagra ili ini boost ,hii ilitokea baada ya kushusha idadi kutoka 5-2 per night ghafla kiasi kwamba ilimsababishia mke wangu kua na wasiwasi kua namsaliti ndo maana nimempunguzia haki yake,wapo waliokuja na ushauri nitumie mnyaa mkuu Bujibuji, ulitoa ushauri huu,wengine wakashauri mazoezi n.k lakini nilifanya mpango nikaipata nikapimwa uzito na pressure then nikapewa kiwango cha viagra kinachostahili,aisee baada ya siku 2 tu heshima ilirudi na ikapanda hadi ikafikia 6,sasa nadiriki kusema na kushauri vijana wenzangu tulio 20s -35s tafuta hii kitu usidharaulike na sitapenda kuona mdada kama Zahra white anakuja na maada hapa eti mnakera mnatoa kamasi tu hamana mpango kabisa, nataka aje hapa aseme jana nilikimbia ghetto kwa msela nikasahau kufuli kichapo kilikua kikali jamaa bado kasimama bila miguu

Nawakilisha
 
Ngono tu kila kukicha ...watu wanafikiria kwenda sayari nyingine na kujenga metropolitan cities...huku sie ndo stori hizi....acha watutawale tu,watutengenezee magari mazuri na vitu vingine si tununue.watuchagulie maraisi.
nenda jukwaa la siasa wewe ukajenge uchumi,huku tunajenga familia
 
Yaani maneno ya Zahra ndio yanakutisha...

hapana mkuu zahra huyo kwanza kakutana na wachovu,we angalia tu hata wakati kiwango kimeshuka bado napiga tu nyingi
 
Kijana kutumia viagra??????kweli kazi tunayo Mwenyezi Mungu tunusuru, ukifika uzeeni je? si itakuwa zaidi ya balaa
 
Acha mkeo afaidi jino la mwisho linaonekana kwa furaha! ila get ready mwekundu huyo jongoo wako atakapokuwa sugu na kushikwa usingizi wa jumla, mke atanuna na vicheko vitakoma.... utatamani ufungwe P.O.P na hutafanikiwa...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaonekana unaifurahia sana huduma ya VIAGRA waliowahi kuitumia wanasema ina madhara! sasa ww unasema kiwango kilishuka ulikuwa unatwanga mbili! Sasa umeanza kutumia charge! Ikifa kabisa ucje kulialia tena hapa Jukwaani km ulikuwa unapiga mbili bila charge itafikia wakati chombo kitazima kabisa! utafanyaje kaka! Kumtosheleza mwanamke C idadi ya magoli unayopiga unaweza kupiga mbili au hata 1 Namwanamke actake tena GAME! wadogo zetu mnatabu sana!
 
Ahahahaaaaaaaaa.....leo agenda yangu ni kucheka tuuu...no mo no less
 
Mkuu inaonekana unaifurahia sana huduma ya VIAGRA waliowahi kuitumia wanasema ina madhara! sasa ww unasema kiwango kilishuka ulikuwa unatwanga mbili! Sasa umeanza kutumia charge! Ikifa kabisa ucje kulialia tena hapa Jukwaani km ulikuwa unapiga mbili bila charge itafikia wakati chombo kitazima kabisa! utafanyaje kaka! Kumtosheleza mwanamke C idadi ya magoli unayopiga unaweza kupiga mbili au hata 1 Namwanamke actake tena GAME! wadogo zetu mnatabu sana!

We inaonyesha ni mkubwa sasa, mwanza make sio idadi ya mabao, piga mbili umezidi sana tatu, lakini hata moja tu Kama kweli unajua mavituz linamtosha sana, tatizo watu hamuelewi number ain't nothing jamani.mfano kuna shosti mmoja niliwahi kukimbia nikahisi atanifia meet nikipampu Mara mbili tu shosti anaachia ilivyofika Kama Mara Sita hivi nikaona isiwe
 
Mimi appointment ya Game kwangu kama Viagra
 
Zahra white heshima zako, mi nikafikiri labda tu uliamua kuwatusi watu, kumbe kuna watu kweli wanazingua!!!!!! Mzigo mpaka u-boost, mmhh!!!
 
Unataka uue watu wewe!! Wapi mkemia wa sirikali? Wapi ditopile wa mzuzuri? Wapi mpakanjia? Viagra noma sana.



=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
ki phamacology nilicho soma zamani kinaniambia viagra kazi yake ku tibu erectile disfunction na pulmonary hypertension
kwa kuongeza blood flow kwenye mgegedo
sasa wewe nani ali ku diagnose kuwa una erectile disfunction (kushindwa kusimamisha au ku maintain kusimamisha)
 
Na ile kitu dada alishaiongeza

Hure...........
Week kadhaa zilizopita nilikuja na mada hapa JF kwamba naombeni msaada wa kunitafutia viagra ili ini boost ,hii ilitokea baada ya kushusha idadi kutoka 5-2 per night ghafla kiasi kwamba ilimsababishia mke wangu kua na wasiwasi kua namsaliti ndo maana nimempunguzia haki yake,wapo waliokuja na ushauri nitumie mnyaa mkuu Bujibuji,ulitoa ushauri huu,wengine wakashauri mazoezi n.k lakini nilifanya mpango nikaipata nikapimwa uzito na pressure then nikapewa kiwango cha viagra kinachostahili,aisee baada ya siku 2 tu heshima ilirudi na ikapanda hadi ikafikia 6,sasa nadiriki kusema na kushauri vijana wenzangu tulio 20s -35s tafuta hii kitu usidharaulike na sitapenda kuona mdada kama anakuja na maada hapa eti mnakera mnatoa kamasi tu hamana mpango kabisa,nataka aje hapa aseme jana nilikimbia ghetto kwa msela nikasahau kufuli kichapo kilikua kikali jamaa bado kasimama bila miguu

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom