Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.
Siwezi kuweka majina yote jamvini kulingana na kifaa ninachotumia. Vinginevyo tuma private message taja jina lako, likiwepo ntakujulisha ingawa naweza chelewa kukujulisha coz kuna nalitumikia taifa kwa sasa.