Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,142
- 2,501
honger kwa wote walioitw na wakaoitw baad ya baadh kushndw. Kabla ya kusailiwa ni vema ukajisaili mwenyew ktk mamb yafuataya..
1.kuangalia kam mguu wako una UVUNGU nyayon.
2.kupima kipim kikuu, yaan H.I.V,TB,BP,KISUKAR,PUMU,FIGO nk. Kam una ugonjw wowot ni hatar kwa maish yak ucdanganye.
3.Kuhakikisha kam una nguv za kiume za kutosha. Rahisi tu, we vua nguo inama(bong'oa) alaf kohoa, inatakiw ukikohoa MZIGO USHTUKE.
4.Matege, matege ya kupind kwa nje na ukitembea magot yanakaribia kukutan, hayatakiw 7bu ni hatar kwa usalam wako.
5.kujua nchi znazopakan na tz kwa DIRA.
6.kujiamini unapojib maswal.
7.kumtizam uson anayekusail,husipepese macho watokuon unatoa taarif za uongo.
8. Kukata kucha,Kunyoa ndev,nyewe sehem za siri na kichwan.
9. Utulivu, epuka kuweka mikon mifukon na kutingisha miguu wakat wa mahojiano.
10.TAMBUA WIMBO WA TAIFA KWA UFASAHA.
Tafadhar zingatie mlioitwa jambo dogo linawez kukunyima kazi, kala her .Ahsanten sana

msaada tafadhali mwenye hili gazeti naomba aniangalizie HASSANI A KUYELA nilichelewa kupata taarifa
kaka katika watu wewe nakupa tano, ila kwangu mimi tatizo ili guu langu sijui kama lina uvungu au la. sasa nisaidie nitawezaje kujipima kama mguu una uvungu au hapana. na je kwa sehemu kama ccp unyayo kupimwa unaweza kukurudisha nyumbanikwa kukosa uvungu tu wakati qualities zote unazo.
JE, pia unaposema mzigo ustuke unamaanisha mzigo upi? kipenyo au dushelele. tunaomba ujuzi wako tafadhali
Kama unataka kupima uvungu :
Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.
Kwa hiyo inabidi uvungu uwepo au usiwepo? ?
Inabidi uonekane(ionekane unao) kwenye hiyo foot-print ya unyayo. Ukikanyaga, sehemu ya
uvungu itakuwa kavu kama unao.
Nashukuru kusikia unyayo sio ishu. lakini je inamaana hata jeshi la polisi au magerza na uhamiaji au namaanisha kule CCP uwa awazingatii unyayo? naomba nipe moyo kamandaKama unataka kupima uvungu :
Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.
Wanazingatia lakini ukiwa mjanja unapita tu. Si unajua jeshini akili 🙂! Na pia kama uko fresh kwenye mambo mengi inakuwa rahisi zaidi watu kuto bana sana kwenye mambo kama hayo. Kupima ni lazima. Hiyo ni itifaki. We unachotakiwa ni kujiamini. Jeshi linapenda watu wanaojiamini.
Ki maumbile ukitembea mwendo mrefu, kama huna uvungu ni kawaida miguu kuuma au kufa ganzi sababu mzunguko wa damu chini ya unyayo unakuwa hafifu. Ipo kijeshi zaidi, si unajua kuna wakati inabidi mtembee kilomita za kutosha?
Afya ikiwa njema, mwili usio na ulemavu dhahiri, vyeti viko sawia na halali, hamna ushoga, uwezo wa kujielezaje! mambo gan mengne muhm wanahtaj ukiacha na hayo mkuu msaada
Afya ikiwa njema, mwili usio na ulemavu dhahiri, vyeti viko sawia na halali, hamna ushoga, uwezo wa kujieleza
(kama ni kidato cha nne na kuendelea kujieleza historia yako kwa ufupi kwa maneno na maadishi kwa lugha ya kiingereza), hiyo inatosha kupambana.
Mkuu Vipi kuhusu mtu mwenye makovu
kwenye mwili hasa hasa yale makovu
makubwa makubwa yanaliovimba ka
manundu?!