Hatimae tunaoana

Hatimae tunaoana

Kuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7.

Huyu kaka angekua mswahili ningesema ameniroga maana nimetulia sana kwa hii relationship mpk mwenyewe najishangaa. Japo kumekua na matatizo madogo madogo kati yetu lakini kukiwa na na mapenzi ya Kweli, mtu ukipenda na ukipendwa everything is possible.

Kwenye huu uhusiano nimejifunza uvumilivu ktu ambacho nilikua sina ata kidogo. Sijui ndo nimekua sijui ni mapenzi ata sielewi. I'm glad that I met this guy. Ni mpole, hana mambo mengi, sio mtu wa kujichanganya, hanywi pombe na havuti sigara. Sijui nieleze vipi ila nina furaha sana.

Hongera, endelea kumuombea asibadilike na wewe usimchoke
 
Mungu awape masikilizano awape pia watoto wenye heri furaha Aman na upendo.ila usitusahau kadi mkuu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Unyenyekevu,wema,hekima ,akili,shauli.. havipimwi kwa kutokunywa pombe Wala kutovuta sigara..omba Mungu ampe mwenzako maono,awe mbunifu..akupende kwa dhati.. ajitume na Zaid ya yote adumu katika kumcha mola wake..

Nikuulize..kwa kipindi hiki tangu mkutane wewe hapo unajivunia nini ambacho ikitokea vyovyote bado itakuwa kumbukumbu kwako...??!
Mume anatakiwa awe mwenye kujitegemea zaidi..Sion bulbu ikiungua anaita fundi kuja kumbadilishia au akipanda juu ya stuli kubadiliaha bulb anakwambia umshikie stuli asianguke!!...(umenielewa hapa?!) ..Ana mawazo chanya!?

NB:imekuwaje Jambo lilelile alilolitafuta Israel kwa bidii hakulipata lkn wale waliochaguliwa Tena walilipata!!? (Warumi11:7)

Muombe Sana Mungu ili muwe miongoni mwa wale waliochaguliwa Tena....
 
Back
Top Bottom