Hatimae tunaoana

Una miaka mingapi

Una furaha sio tatizo ila jua kabisa shetani hana tatizo na couple zinazopendana ila tatizo kweny ndoa mkiingia anahamia hapo

Kikubwa uvumilivu mumeo awe kichwa cha familia na mweny kauli ila ukijifaya kama ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu hamtodumu
Asante lakin mimi sikubaliani na hizo maneno ati mwanaume pekee yke ndo ana kauli nyumbani
 
Mwez wa saba na umefurahia ivo?kwel mmeamin wanawake ss iv wanazisaka ndoa zaid ya pesaa..iv unajua hata mwez mmoja tu kweny mahusiano unaweza kuvuruga kila kitu hadi kusahau jina lake?
Ungekua wewe usingefurahi kuoana na unampenda? Kuna watu kibao wanaoana na watu wasiowapenda
 
Kuanzia jana nahisi mimi ndo mtu mwenye furaha sana dunia nzima lol! Baada ya kua kwa relationship miaka 2 na miezi 5 sasa tunaoana tarehe 30 mwezi wa 7.

Huyu kaka angekua mswahili ningesema ameniroga maana nimetulia sana kwa hii relationship mpk mwenyewe najishangaa. Japo kumekua na matatizo madogo madogo kati yetu lakini kukiwa na na mapenzi ya Kweli, mtu ukipenda na ukipendwa everything is possible

Kwenye huu uhusiano nimejifunza uvumilivu ktu ambacho nilikua sina ata kidogo. Sijui ndo nimekua sijui ni mapenzi ata sielewi. I'm glad that I met this guy. Ni mpole, hana mambo mengi, sio mtu wa kujichanganya, hanywi pombe na havuti sigara. Sijui nieleze vipi ila nina furaha sana
haya, hongereni kwa mapenzi, hongereni kwa kushirikiana kujipa raha, mnajua kujipa raha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom