PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 645
- 501
- Thread starter
- #21
Mkuu umeona mbali sana tukipata Watanganyika kadhaa kama wewe hakika mwakani mbali nchi yetu TUKUFU TANGANYIKA inarudi. Ahsante mkuu.
Hakika
Mkuu umeona mbali sana tukipata Watanganyika kadhaa kama wewe hakika mwakani mbali nchi yetu TUKUFU TANGANYIKA inarudi. Ahsante mkuu.
Laana hiyo imwendee nyerere aliyeikana
Ni lini watanganyika waliahidiwa neema na Mungu?
Ahadi za Mungu ziko wazi kwenye maandiko yake matakatifu, hapa namaanisha Biblia, ichimbue utajionea mwenyewe.
Ahadi za Mungu ziko wazi kwenye maandiko yake matakatifu, hapa namaanisha Biblia, ichimbue utajionea mwenyewe.
Wazanzibari wenyewe (wasio wanasiasa) hawataki muungano na watanganyika wa kawaida hawautaki muungano na makero yake. Yaelekea wapendao muungano ni wanasiasa tu. Wasitumezeshe hii kitu ni ngumu!.
Kwa hiyo katika ahadi hizo za kwenye Biblia Tanganyika iliahidiwa lakini Tanzania haikuahidiwa?
K............................... sio wengi wenye hii karama, ........................ Endeleeni kumuomba Mungu awape ufahamu kuhusu hili!
Japo suala lenyewe limesemwa na chizi, naunga mkono 100%. Tanganyika yetu tuidai, hakuna kulala.
Muungano wa kweli ni ule utakaoitambua Tanganyika km inavyotambulika Zanzibar or else Zanzibar uwe mkoa wa Tanzania, full stop.
Sio rahisi kuelewa; hii ni karama!!!!
Mwenye karama anajitangaza!!
TanganyikaMnataka Tanganyika ili iweje? Unataka upate nini?
Laana hiyo imwendee nyerere aliyeikana